Gracegaby

New Member
Sep 16, 2022
1
0
Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
 
Andika information zako vizuri ndo utasaidiwa

mfano
unaitwa Nani
Elimu
uzoefu nje ya Taaluma yako
mkoa na wilaya uliyopo

aina za Kazi unazo weza kuzifanya tofauti na Taaluma yako .

Hapa JF ndo intellectuals na Wafanya Biashara wanapopata.
 
Nakazia
 
Sio lazima kuweka jina lake halisi.

Ila anaweza kutaja sehemu alipo na kama atajitokeza wa kumsaidia basi atapewa taarifa za ziada PM.
 
Kazi zimekuwa ngumu unabidi at the first uuandie kitu kitakacho mui-mpress Mtu ili muweze kufanya negotiation naye

Watu wenye uchumi mzuri wanafata kanuni na taratibu hivyo ukikosea kujitambulisha hesabu Maumivu.
Sio lazima kuweka jina lake halisi.

Ila anaweza kutaja sehemu alipo na kama atajitokeza wa kumsaidia basi atapewa taarifa za ziada PM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom