Naomba jibu waungwana, mapenzi ni kitu gani?

Ni vipi mapenzi sio pombe, lakini yanalewesha? Sio kidonda lakini yanatonesha? Sio maradhi lakini yanauwa? Sio harusi lakini yanafurahisha? Sio fimbo lakini yanaumiza? Jee waungwana mapenzi nini?

Mapenzi ni kiti cha basi hakichagui wa kukikalia,yaani yeyote yule anaweza kukikalia wakati wowote ule,awe kiziwi kipofu au hata chizi,so ukumbuke ukipendwa wewe usidhani mwingine atachukiwa!!!
 
Ukijaaliwa kuyapata raha sana.

Last edited by a moderator:
Ni vipi mapenzi sio pombe, lakini yanalewesha? Sio kidonda lakini yanatonesha? Sio maradhi lakini yanauwa? Sio harusi lakini yanafurahisha? Sio fimbo lakini yanaumiza? Jee waungwana mapenzi nini?

Mapenzi ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom