Naomba itambulike Derby iliyopo Tanzania ni kati ya Simba na Yanga tu

The most competitive matches in the Premier League are often 'Derby' matches. A 'derby' is a match between local rivals. i.e. teams that are from the same city or the same part of the country. These local games have a special place in the hearts of fans and players.
Derby ni mechi zinazokutanisha timu zinazotokq eneo moja.

Alafu kuna Mechi zinazovuta hisia za watu kwa sababu ya UHASAMA uliopo baina ya timu mbili, mfano Manchester united vs Liverpool sio Derby ila ni timu zenye uhasama since kitambo kuzifikia rekodi zao za makombe ya ligi kuu {liver 21, Man u 20{kama sijakosea}.
Derby zinazo husisha Manchester united ni
Manchester united Vs Manchester City
Manchester united vs Leeds

Na derby ya liver ni dhidi ya Everton

Real madrid Vs Barcelona sio derby pia ila ni mechi yenye uhasama na visa kihistoria baina ya timu hizo mbili toka enzi za Mfalme.
Derby zinazo husisha team ya madrid ni
Real vs Atletico madrid
Real Vs Getafe

Barcelona derby zake ni
Barcelona Vs Girona
Barcelona vs Espanyol

Dortmund vs Bayern Sio derby pia ila ni mechi yenye uhasama mkubwaa mnoooooooooooo

Kwahiyo tusifhanganye kati ya mechi za Uhasama na Derby zinazokutanisha Washindani wa mji mmoja.
 
Screenshot_20231029-104448.png
 
Watu wanachanganya baina ya Derby na rivals.
 
We bado mchanga kwenye mpira hakuna derby kubwa England kama man u vs Liverpool
Hawa jamaa wana uhasama hasa
Wachezaji hawauziani ile mechi ni nusu vita

El classico sio derby ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana hajui kuwa hiyo man u na liva ni derby ya kaskazini mwa England hiyo ilikuwa inachezwa sana mchana kwa ajili ya virugu na hiyo ndio derby ya kweli hata ukiangalia hawauziani mchezaji hata Owen japo kacheza liva kwa mafanikio lkn wana liva hawamtambui kama legend kisa alienda man u na utaona Owen kulitambua hilo anaenda sana mashabiki wa man u wa liva wanamkataa derby yoyote lazima iwe na historia sio kisa mnatoka eneo moja ingawa kutoka eneo moja ni factor
 
Hamna lolote. Mbona tusisikie wakiikuza Derby ya kmc na Yanga au Kmc na Simba?. Mnaikuza hiyo timu lakini hamna kitu
ACHA UBISHI WA SOKONI

First, you need to know the difference between a derby and a rivalry. In soccer, a rivalry is a hotly contested match between teams who meet regularly. Real Madrid-Barcelona is a rivalry. A derby, in the traditional sense, is a game between teams from the same city.
 
Naona kila mtu ana tafsiri yake ya derby.
Tafsiri ni Moja

Wengi wanajua Derby ni upiznzani wakati siyo kweli ,
Upinzani ni Rivarly

First, you need to know the difference between a derby and a rivalry. In soccer, a rivalry is a hotly contested match between teams who meet regularly. Real Madrid-Barcelona is a rivalry. A derby, in the traditional sense, is a game between teams from the same city.
 
Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
Sio dabi, hata ligi. Hii ligi ya bongo ni ligi ya timu mbili tu, Simba na Yanga. Asipochukua ubingwa Simba anachukua Yanga.

Au kuna mtu anabisha?
 
Kijana hajui kuwa hiyo man u na liva ni derby ya kaskazini mwa England hiyo ilikuwa inachezwa sana mchana kwa ajili ya virugu na hiyo ndio derby ya kweli hata ukiangalia hawauziani mchezaji hata Owen japo kacheza liva kwa mafanikio lkn wana liva hawamtambui kama legend kisa alienda man u na utaona Owen kulitambua hilo anaenda sana mashabiki wa man u wa liva wanamkataa derby yoyote lazima iwe na historia sio kisa mnatoka eneo moja ingawa kutoka eneo moja ni factor
Kaka.
Neno "ya kaskazini" umelielewa ??
 
Sio dabi, hata ligi. Hii ligi ya bongo ni ligi ya timu mbili tu, Simba na Yanga. Asipochukua ubingwa Simba anachukua Yanga.

Au kuna mtu anabisha?
Sisi tukisema hivyo vipi kule ujeruman na buyernmuich? Kwa sababu naona kama ni makombe ya buyern tu
 
Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
Wasamehe bure

Wanajaribu kuzikuza hizo timu kwa migongo ya Simba na Yanga ili na zenyewe zipate mileage
 
Back
Top Bottom