Naomba Hati ya Muafaka kati ya CUF na CCM

Ili mtengeneze na nyinyi hati kama hiyo kwa bara...mnaona wanafaidi ehe!

Wachaga kwa pesa mkuu acha tu
 
Nataka kufahamu maudhui ya kutaka hati ...

nakushauri fika ofisi za CCM au CUF utapewa.

sio ofisi za serikali?? I pressed CDM to start from perusing this 'contract' na hoja zote wwazijenge kutokea humo ili kuepuka migongano isiyo ya lazima, none dare to do that

wew mkuu unakuja na kihoja, kwa nini muafaka usiwekwe kwenye website ya serikali kila mmoja akauona, what if CUF imeungana na CCM na kuunda CCMCUF??????

Chadema wangefanya assignment kidogo tu wangegundua mengi ya kuwasaidia wazenj na hivyo kuiteka zenj kama wimbo wa mbagala!!
 
Kuwasaidia wazenj? chadema ? duh acha kichekesho unafurahisha baraza?

Chadema hawana mpango na vikofia..ndugu..wanatafuta la saba kutimiza formalities za serikali...

Unataka kujifanya hujui kuwa hicho cha malengo ya ni nini? au unajitia upofu.
 
sio ofisi za serikali?? I pressed CDM to start from perusing this 'contract' na hoja zote wwazijenge kutokea humo ili kuepuka migongano isiyo ya lazima, none dare to do that

wew mkuu unakuja na kihoja, kwa nini muafaka usiwekwe kwenye website ya serikali kila mmoja akauona, what if CUF imeungana na CCM na kuunda CCMCUF??????

Chadema wangefanya assignment kidogo tu wangegundua mengi ya kuwasaidia wazenj na hivyo kuiteka zenj kama wimbo wa mbagala!!

Mkuu umekwenda mno fasta bana! Lakini halijaharibika neno.

Hivi huo mkataba ni siri au uko wazi? Nahisi siku huo mkataba ukitinga hapa mengi yataparaganyika.

Kwa kuwa sasa hivi hakuna chama cha upinzani Zanzibar, Chadema wakajaze pengo
 
Jamani mniwie radhi kama hati ya muafaka kati ya ccm na cuf zanzibar ilishawahi kubandikwa hapa janvini. Just out of curiosity, natamani kusoma hiyo hati ili nitafute ukweli/uongo wa hizi tuhuma kwamba CUF siyo chama cha upinzani. Lakini pia tujue kama vyama vingine vina nafasi ya kujiunganisha kwenye huo muafaka au la.

Mwenye nayo please?
Jamaa ametoa namna muafaka ulivyofikiwa lete hoja zako
 
mkuu bado unadhani utapata!??

ningefurahi sana kupata mkuu, nimepatwa na shauku sana hasa baada ya mjadala wa bunge wa asubuhi hoja ya azimio la bunge kuhusu kutafsiri maana ya kambi rasmi ya upinzani bungeni
 
Back
Top Bottom