Naomba CV ya Ashyrose Matembe, Mbunge viti maalum CCM mkoa wa Singida

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,283
6,556
Nimekuwa nikimsikia kupitia vyombo vya habari kwa wiki nzima sasa akitoa misaada mbalimbali mkoani Singida. Misaada hii inagusa maeneo mbalimbali ya kijamii.

Nadhani cheo kikubwa serikalini kinanukia kwake.

Mwenye CV yake tafadhali.
 
Last edited:
Pengine anautaka "wa jimbo" mnamo 2020, kuhusu CV, zinapatikana kwenye tovuti ya bunge.
 
Nimekuwa nikimsikia kupitia vyombo vya habari kwa wiki nzima sasa akitoa misaada mbalimbali mkoani Singida. Misaada hii inagusa maeneo mbalimbali ya kijamii.

Nadhani cheo kikubwa serikalini kinanukia kwake.

Mwenye CV yake tafadhali.
We unaitaka cv yake ya nini? Ukiskia uchawi ndio huu,haya ingia kwenye website ya bunge utaipata mpaka namba yake ya wasapu
 
Nimekuwa nikimsikia kupitia vyombo vya habari kwa wiki nzima sasa akitoa misaada mbalimbali mkoani Singida. Misaada hii inagusa maeneo mbalimbali ya kijamii.

Nadhani cheo kikubwa serikalini kinanukia kwake.

Mwenye CV yake tafadhali.
Mali za wakubwa hizo, kaa mbali usije potea bure. Mtoto laini sana yule jameni.
 
Kutoa kwa kujionyesha inaishia hapohapo!
Kutoa misaada iwe ni siri yako na Mola!
 
Back
Top Bottom