samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
Ivi hii mikopo ya vyuo vikuu nitatizo la bodi yamikopo au ni vyuooni?kwani tunashindwa kuelewa,tulishazoea kuwekewa hata kabla ya kufungua vyuo,mwaka huu imekuaje,tunaomba tujuzanine ili tuliamushe maana hawarespond hadi waone kuna uhalibifu na uvunjifu wa amani,tumechokaa,kwanini chuo cha dsm wapewe na sisi bado?