Nanunua Mitungi Empty ya Gas za Majumbani Kampuni zote

Movies Store

JF-Expert Member
Mar 17, 2022
288
935
Habari wakuu, naomba kama kuna anaeuza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe.

Nanunua mitungi yote size zote, idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar, mwenye mitungi kuanzia 10 KWENDA MBELE NITAIFATA.

Mwenye mtungi mmoja mmoja ataniletea Makutano ni UBUNGO.
 
Habari wakuu,naomba kama kuna anae uza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe.

Nanunua mitungi yote size zote,idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar,mwenye mitungi kuanzia 10 KWENDA MBELE NITAIFATA.

Mwenye mtungi mmoja mmoja ataniletea Makutano ni UBUNGO.
Mmoja unanunua bei gani ili wadau waelewe wa kg 30
 
..jibu halipo wazi...mitungi ina size tofauti...kuna kampuni Kama manji Wana kilo 3..wengine kilo kuanzia nne...ndo maana nauliza
Sio manjis tu hata Oryx na Mihan wana hiyo size uliyosema na yote nanunua, kama unao Karibu niuzie.
 
Habari wakuu,naomba kama kuna anae uza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe.

Nanunua mitungi yote size zote,idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar,mwenye mitungi kuanzia 10 KWENDA MBELE NITAIFATA.

Mwenye mtungi mmoja mmoja ataniletea Makutano ni UBUNGO.
Ninayo mitatu midogo ya manjis
 
Back
Top Bottom