MLIPUAJIUKWELI
Member
- Oct 19, 2011
- 5
- 3
Nawasilisha; kama hamuwaogopi watajeni tuone.
Mkuu kwa heshima na taadhima hii ni post yako ya pili tu hapa toka ujiunge 19.10.2011,hauna uzoefu wa kuwajua wala kuhoji uchakachuaji unless umeogopa kutumia ile ID ingine.
Habari ako binafsi shemeji langu....hivi panazungumziwa nini hapa?Mkuu kwa heshima na taadhima hii ni post yako ya pili tu hapa toka ujiunge 19.10.2011,hauna uzoefu wa kuwajua wala kuhoji uchakachuaji unless umeogopa kutumia ile ID ingine.
Acha kuchakachua sredi bana!..taja majina...lol..Uporoto kwa analysis sikuwezi!
Mlipuaji,pole na matumizi ya wknd
Mom nakuona ukikatiza jukwaa la siasa sio dili utapata presha bure,anzia chitchat kushuka chini kwa ajili ya afya yako.Uporoto kwa analysis sikuwezi!
Mlipuaji,pole na matumizi ya wknd
Mdogo wangu hebu nenda kwenye started thread zake utagundua jamaa bomu la Mbagala na kalipatia jina lake.asante bro kwa kuvaa ile miwani yako mpya uliyonunua jana
Shemeji mi mzima sijui wewe, nina malamiko sipati nafasi ya kuongea na mupenzi siku hizi akina BAK na Mzee wanasumbua.Habari ako binafsi shemeji langu....hivi panazungumziwa nini hapa?
tehetheteheteh! msahehe jamani!!Mkuu kwa heshima na taadhima hii ni post yako ya pili tu hapa toka ujiunge 19.10.2011,hauna uzoefu wa kuwajua wala kuhoji uchakachuaji unless umeogopa kutumia ile ID ingine.
hivi kuna haja ya kutaja majina kweli ? mbona tunafahamiana wote. Sweetlady,King'asti,husninyo,Russianrulette,Kloro,Finest,Boss,Uporoto,Figganigga....haya jitajeni wengine lol!Acha kuchakachua sredi bana!..taja majina...lol..
mlipuajiukweli.nawasilisha kama hamuwaogopo watajeni tuone.
Mkuu kwa heshima na taadhima hii ni post yako ya pili tu hapa toka ujiunge 19.10.2011,hauna uzoefu wa kuwajua wala kuhoji uchakachuaji unless umeogopa kutumia ile ID ingine.
Hii post umeichakachua hii!! mbona haieleweki?nawasilisha kama hamuwaogopo watajeni tuone.
Paw..............huyu ni balaa