Nani wanaongoza kwa kuchakachua sredi mmu?

Yaani Manchester United walivyofungwa goli la sita nikajua sasa basi!

Kwaniaba ya wafanyakazi wenzangu wa famasi na wodini nawasalimuni wote

Baada ya kusema hayo, Narudi zangu Chamazi kuangalia mechi ya Toto Africa na Coastal Union.Habari mpya ni kuwa zile raba mtoni nilizonunuliwa na baba mkwe wakati wa pasaka zimenibana, naziuza.

Huyu hapa wa kwanza.
 
Hehehe! Ww ndo umechakachua! Afu ashadii ndo kanifundisha hii tabia mi sikuwaga hivi maskini wa mungu. Ntaacha
Hahaha! Usijali mke mwe'.. Siye twafuata ule msemo wa raha jipe mwenyewe bana...kuna sredi zingine bila kuchakachua siku haziendi... Unamsingizia wifi adii? Wifi yenyewe siku hizi kaka Kaizer ameanza kumfundisha kuchakachua lol, hakuwaga hivyo! Miye mafunzo alinipatia babu ODM!
 
Sijaona kabisa, zaidi zaidi ni kurefresh mind tu!

Umeona eeeh?? lol

umeona eeh

Bila ubishi yaani....lol

Hahaha! Usijali mke mwe'.. Siye twafuata ule msemo wa raha jipe mwenyewe bana...kuna sredi zingine bila kuchakachua siku haziendi... Unamsingizia wifi adii? Wifi yenyewe siku hizi kaka Kaizer ameanza kumfundisha kuchakachua lol, hakuwaga hivyo! Miye mafunzo alinipatia babu ODM!

Asante wifi yangu wa ukweli, nitamuambia Sweetie aache kunifundisha tabia mbaya.....lol
 
King acha kuniharibia CV.... Hivi umeona jina langu likitajwa humu?? lol ..... Utakua umechanganya alokufundisha mwingine.....
Wifi wewe tumekutaja kimoyo moyo manake tunaogopa kuachika lol.... Ila hujamfundisha king'asti bana, yeye mwalimu wake wa tuition ya kuchakachua alikuwa klorokwini!
 
samahani.. nilitaka kutoa tamko.. eti hapa wanazungumzia nini at? manake naona wanachakachuachakachua tu, mwanzilishi wa threads keshachakachuka, wachangiaji wameshachakachuka, yaani hapa hata sielewielewi.. hili chaka la kigeni..Mods Uporoto01 ana ID Ngapi.. nijibuni kwanza hili?
 
Ukisikia typical uchakachuaji ndo huuu......lol.... Mpaka hapo sijaona lililopo ndani ya topic.....
Kwani hapa tunajadili nini? Si uchakachuaji?

Wafuatao ndo vinara wa uchakachuaji MMU

AshaDii, King'asti, Sweetlady

Haya nigongeeni kale kakitu kangu!
 
Wifi wewe tumekutaja kimoyo moyo manake tunaogopa kuachika lol.... Ila hujamfundisha king'asti bana, yeye mwalimu wake wa tuition ya kuchakachua alikuwa klorokwini!

hahaha.... yaani hata wee wifi yangu jamani.... (ila nimefurahi hata wee umeona King kanionea...)
 
samahani.. nilitaka kutoa tamko.. eti hapa wanazungumzia nini at? manake naona wanachakachuachakachua tu, mwanzilishi wa threads keshachakachuka, wachangiaji wameshachakachuka, yaani hapa hata sielewielewi.. hili chaka la kigeni..Mods Uporoto01 ana ID Ngapi.. nijibuni kwanza hili?

AshaDii.... Mwingine huyu hapa.
 
Mimi mmeniona kweli kutwa huwa nashinda Jukwaa la Jokes

samahani.. nilitaka kutoa tamko.. eti hapa wanazungumzia nini at? manake naona wanachakachuachakachua tu, mwanzilishi wa threads keshachakachuka, wachangiaji wameshachakachuka, yaani hapa hata sielewielewi.. hili chaka la kigeni..Mods Uporoto01 ana ID Ngapi.. nijibuni kwanza hili?

Yaani hii yoote uchakachuaji hii.....lol
 
Kwani hapa tunajadili nini? Si uchakachuaji?

Wafuatao ndo vinara wa uchakachuaji MMU

AshaDii, King'asti, Sweetlady

Haya nigongeeni kale kakitu kangu!

Shem Umeona you are cold alone up there eeeeh?? hivo woote watatu tupo kwenye list... lol
 
Back
Top Bottom