Nani wanaongoza kwa kuchakachua sredi mmu?

Yaani ukiangalia ukurasa wa kwanza hadi huu hapa utawaona tu wachakachuaji wenye diploma, bachelor, masters, na wenye PhD!
Kiboko ni AshaDii, lazima tumtafutie tunzo aisee... maana she has given a whole new dimention to the concept of uchakachuaji. lol
 
.......lol....... Khaa! Roulette... Am i reading right hapa?? Please edit post yako, i think you meant "Asprin" Mie hauoni nilivokua nalinda thread?? lol
 
Wachakachuaji wakubwa MMU......AshaDii huyu balaa yaani sina jinsi ya kumuelezea......Husninyo huyu huwa anachakachua hadi Jukwaa la Matangazo Madogo......Sweetlady huyu post ya kwanza tu kitu na box halafu anachakachua thru mobile......King'asti.........hata kabla hajaanza kupost huwa najua ataenda kushoto badala ya kulia lol.......Mamndenyi huyu anachakachua hadi PM.........AfroDenzi huyu baada ya kumfundisha ameacha kuchakachua siku hizi......Bebii amekuwa mwanafunzi mzuri wa uchakachuzi......Dena Amsi huyu ndio mwalimu wao ana Phd ya heshima....kifupi wachakachuzi wakubwa ni wanawake, wanaume tunafuata maadili kabisa.

ANGALIZO:post hii hairuhusiwi kupingwa na hao waliotajwa humo

Hilo angalizo nimeliheshimu...
 
nakataa nakataaaaaaaa.
 
Khaa! yaani wadada tu ndo wachakachuaji??? C'mon acha kutuonea.... Naungana na Nyamayao... Wapi kakako Kaizer?? Wapi ODM?? Wapi The Finest?? Wapi Klorokwini?? Alafu Boss mbona sioni wakimtaja na pia yee ni mtaalam?? (tena Kimey nae anaqualify kabisa!)
Wifi the boss hajaachwa!..lol
 
Hivi nyie mbona hamna akili? mnapenda linganisha linganisha mambo ili iweje? mbona mna idiotik thread kila mara? why jamani? why???
Ni bora ungetafuta mlango ukatoka kimya kimya. Hapa tuko chit chat mazee.... Kuna majukwaa kibao ya vitu serious sasa sijui wewe kimekuleta nini humu...
 
Nimesoma toka mwanzo mpaka mwisho sijaona mtu aliyejadili hii mada kiundani.

Nikiripoti toka shimoni kariakoo

Mimi stering no moja wa kuchakachua/papaa /pedeshee wa kuchakachua wa jf
nakuaminia na kile kidonge kingine mkuu hilo halina ubishi
 
Sheria ya pili ya JF

Ku-quote na kuchakachua posti ya member mwenye umri kuanzia miaka 55 na kuendelea, adhabu yake ni kuhamishia kikojoleo cha mchakachuaji kwenye paji lake la uso.

Niko hapa nadizaini bikini ya kumvalisha bebii kichwani.
 
babuuuuuuuuuuuuuu sikuwezi
 
Back
Top Bottom