Nani wa kulaumiwa Mama au Baba???

Kutotoa vichanga 13 ni shughuli pevu kweli kweli. Najaribu kupiga picha hiyo "mashine" yake....somethings are just better left unsaid!

We Dena jana ulikuwa wapi mi nimekutafuta siku nzima bana...

Mbona hukunipigia simu?? Mie nipo nimejaa tele. Watu wanatotoa mpaka 50 unashanga 13???
 
Mbona hukunipigia simu?? Mie nipo nimejaa tele. Watu wanatotoa mpaka 50 unashanga 13???

Juzi kati nilienda kwa mjomba sasa kuna kadogoo mmoja akawa anaichezea na bahati mbaya akaidumbukiza chooni nikapoteza kila kitu.

Hebu nifyatulie tena hiyo namba yako kwenye PM ;)
 
Back
Top Bottom