Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Mimi nampendekeza
SNOWDEN . E

Wengine wote ni washenzi tu, hawana uzalendo, ni wezi wakubwa, hawajali maslahi ya Taifa wana jijali wao.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mimi nafikiri hatuhitaji majina tunahitaji tufumue katiba nakutengeneza mifumo kiasi kwamba hata mtoto wa la pili alipewa nchi anatoboa angalia marekani nchi hata apewe kichaa hakuna kinachoharibika serikali iwe serikali, mahakama iwe mahakama na bunge Liwe bunge na cag awe CAG yaaan hapo kichwa hakitauma vinginevyo hapo ata ake Nani bado tunapiga mark time tu mpaka kutakucha
 
Lisu hafai kua Rais, lisu ni mwanaharakati na kuzijua sheria za kimataifa ama kua nguli hakumsababishi awe Presidential material.
Hayo yote yatawezekana kwasababu urais ni taasisi na Rais anawasaidizi.
Hii nchi inahitaji kiongozi na awe mkali. Hii nchi hafai kuongozwa na mwanasiasa ama mwana harakati.
Huwa sielewi tafasili ya mwanaharakati naomba kupata shuke hapa,kwasababu mm ninavyoona mtu yoyote anaweza kuwa mwanaharakati yani nione mambo hayako sawa alafu nisikosea sasa huu si ni ujinga.
 
Huwa sielewi tafasili ya mwanaharakati naomba kupata shuke hapa,kwasababu mm ninavyoona mtu yoyote anaweza kuwa mwanaharakati yani nione mambo hayako sawa alafu nisikosea sasa huu si ni ujinga.
Ipo hivi....
Mwanaharakati ni mtetezi wa wanyonge na anayepinga mabaya yasitokee katika jamii.
Mwanasiasa ni mtu anayejihusisha na siasa lakini anaweza asiwe mtetezi wa wanyonge.
Mwanaharakati anaweza kuwa mwanasiasa ili aweze kuitetea jamii kupitia madaraka alionayo.
 
Sasa km ndivyo kwanini LISU hafai kuwa Rais?
 
Majaliwa Mimi Nina mashaka.kidogo japo polepole nae sijamfahamu vzr
Mashaka gani ?
Majaliwa ni mzalendo kweli tena kwaanayopitia ni wa kupongezwa, Imagine yeye ndiye waziri mkuu yupo kwenye chama ambacho kina mpasuko alafu ndiye mwakilishi wa serikali bungeni tena bunge lenye mpasuko na ndiye mtendaji mkuu wa serikali Serikali yenye mpasuko lakini kaweza kuhimili tena kwa busara kubwa kuvuka vipindi vyote viwili vyenye marais tofauti wenye mitazamo tofauti akiwa palepale kwenye nafasi ya uwaziri mkuu.
Sikatai kama mwanadamu anaweza kuwa na mapungufu lakini above 80 % Ni presidential material.
Polepole naye ni mtu sahihi pia angefaa kuwa prime minister au vice president
 
Back
Top Bottom