Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

Majaliwa namtazama kama mtu mwenye hofu sana, pia naona kama anapenda kutoa matamko kwamba "Rais ameniagiza". Hii kauli umenifanya kumtafasiri kama hajakomaa ama hajiamini kwa kuogopa God father's
Majaliwa sio kwamba ni muoga ila mfumo unambana kwa nafasi yake yaani ni kama anatengenezewa mazingira awe hivi tunavyo muona.
But believe me, Majaliwa anauwezo mkubwa wa kuongoza hii nchi.
Hii nchi kwa ilipofika haitaki kiongozi lelemama inataka kiongozi ambaye atasimama kama kiongozi kweli regardless dunia itamtazama kama dictator or not .
Most ya nchi nyingi za Afrika mfumo wa kuongoza ulio bora ni udikteta mambo ya demokrasia ni uongo na kuendeleza umaskini
 
Ccm ina makada wengi wanaoweza kuwa marais ila hufanya surprise kupata mgombea ambaye hatajwi na hafahamiki vizuri hata na chama chao. Majina maarufu huishia kwenye kinying'anyiro tu, unashangaa underground mgombea ainaibuliwa dakika za mwisho
 
Nafikiri huu mfumo ndio zaidi umepelekea chama hicho kua na vuguvugu ndani, manung'uniko, chuki za wao kwa wao pamoja na kuto kuaminiana hata kufikia kuto achiana maji ya kunywa mezani.
 
Back
Top Bottom