Nani unampenda zaidi hapa JF?

Amwit52

Member
Dec 18, 2011
59
7
Na kitu gani kimekuvutia kwake? Mi bado mgeni sijafahamu member wa humu vizuri nataka niwafahamu wenye sifa mbalimbali. Kwa sasa najipenda mwenyewe.
 
user-online.png
Amwit52
Today 07:58
#1

MemberArray

Join Date : 18th December 2011
Posts : 28

Rep Power : 306

icon1.png
Nani unampenda zaidi hapa JF?

Na kitu gani kimekuvutia kwake? Mi bado mgeni sijafahamu member wa humu vizuri nataka niwafahamu wenye sifa mbalimbali. Kwa sasa najipenda mwenyewe.

Yaani wewe umeingia siku moja na umeshatuma Post 28? Ahhh Unacheza wewe nini na hii Jamii forums? Una haki ujipendea Mwenyewe kwa Post zako 28 kwa siku moja. Miafrika bwana ndivyo ilivyo.

Mimi ndio member bora, mgeni wa jf.
 
Hii post inataka kuchawia msimu wa sikukuu za kufunga mwaka, mchawi wa msimu wa sikukuu:hat:
 
Back
Top Bottom