Nani mmiliki wa dizzm tv na radio?

Kba100 kama sijakosea ila watakuja nimeona upo peke yako kwenye jukwaa
 
Kba100 yeye ndio atakuwa anamjua mwenye hiyo dizzim media sema anafanya mgomo kuto kukwambia
 
Sasa ukiisha mjua ufanyaje aiseee Mbona ye haangaiki kukujua wewe..Mind your business Dude
 
Yes tunataka mtupigie muziki wetu wa asili wa dansi....bongo fleva inatuboa kishenzi sie wenye akili timamu.
Lol, hilo limepita ili kuboresha huduma zetu na kufanya media yetu itizamwe na watu wa kila rika, tunapiga nyimbo za 'dizaini' zote ili watazamaji na wasikilizaji wetu wafurahi kile wanachotaka.
hahaha.. na wewe tycoon kumbe..
Naaam,
Hahahaha
 
Lol, hilo limepita ili kuboresha huduma zetu na kufanya media yetu itizamwe na watu wa kila rika, tunapiga nyimbo za 'dizaini' zote ili watazamaji na wasikilizaji wetu wafurahi kile wanachotaka.Naaam,
Hahahaha


Si kweli nyimbo mnazopiga 90% ni bongo fleva na asilimia iliyobakia ni za wanigeria na wamarekani wakati hapa ni Bongo. Ukienda huko Nigeria au Marekani hawapigi nyimbo zetu ila nyie mnawabeza.
 
Back
Top Bottom