Nani mmiliki wa Alba Apartments alipokuwa akiishi Dr.Slaa?

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Nadhani nyote mnafahamu kwamba jamaa aliwahi kusema kawekewa vinasa sauti kule hotel 56 Dodoma.Nilitaka kufahamu nani mmiliki wa Alba Apartments alipokuwa anaishi Dr.Slaa na Josephine na watoto wao wawili.Hii itatusaidia kujua kwa nini ndugu yetu huyu alipaamini sana na kuamua kukaa pale na "familia" yake hiyo.
 
Yako yamekushidwa unaanza kufuatilia ya watu chumbani.
Men lets think about development and nix peoples life!!!!!!!!!
 
Guys,si hapa kuna topic za udaku zinakuja?Kama hii.

RUGIMBANA-4.jpg
 
Wewe unalipiwaga na nani ukipelekwa gesti pale mwembe chai
 
Hapa ndipo namkumbuka Rev Masa. Malaria Sugu sorry I mean TandaleOne asingefurukuta kihivyo
 
icon1.gif
Nani mmiliki wa Alba Apartments alipokuwa akiishi Dr.Slaa?

Nadhani nyote mnafahamu kwamba jamaa aliwahi kusema kawekewa vinasa sauti kule hotel 56 Dodoma.Nilitaka kufahamu nani mmiliki wa Alba Apartments alipokuwa anaishi Dr.Slaa na Josephine na watoto wao wawili.Hii itatusaidia kujua kwa nini ndugu yetu huyu alipaamini sana na kuamua kukaa pale na "familia" yake hiyo.

Kwanza takwimu zako zina walakini. Kasheshe la Dr. Slaa kufungiwa vinasa sauti kwa minajili ya kumhujumu lilifanyika Dodoma wakati akiwa Bungeni sasa haya ya" Our First lady In waiting" na watoto wao wawili yanatokea wapi na hizo Alba Apartments za Dar wakati matukio ni ya Dodoma? Kama huna hoja funga domo dugu yangu.........................

Lakini kubwa zaidi ni "WHO CARES?"
 
ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria watu wakiwa kimya usidhani hawajui labda wanasubiri mda mwafaka wa kuyasema

NO STONE SHALL REMAIN ON THE OTHER WHATEVER IS COVERED SHALL BE UNCOVERED& WHATEVER IS HIDDEN SHALL BE REVEALED
 
madrassa al sul
 
Huyo Mmiliki simfahamu ila nafahamu majina ya fisadiz wanaoshirikiana na JK kuiibia Tanzania. Niwataje au unawafahamu?
 
Back
Top Bottom