Nani mkali: Msaga Sumu vs Manfongo

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
797
Habari wanajamvi?
Kwanza naomba niseme mie nimezaliwa na kukulia uswazi mpka nilipoanza maisha ndio nikahamia walau nusu uswazi...

Uswahilini kwetu kwa wale wa maeneo ya tandika,maguruwe,yombo,temeke kwa maganga na sehemu nyinginezo mnakumbuka mziki wa MNANDA ambao ni kinanda kidogo lakini kinapigwa kwa umahiri mpaka mziki ukaitwa "MNANDA".
Kwakua mziki huu ulihusisha vibaka wengi polisi walidhibiti na taratibu mziki huu ukapotea... Achama na mnanda wa marehemu Omary Omary ulikua wa kisasa ingawa nae alikua muanzilishi enzi hizo maemeo ya temeke TP.

Sasa miaka ya 2010 kama sijakosea,akaibuka Msaga Sumu yeye alitumia vionjo kwa nyimbo za watu na hatimae uswahilini wakaita "VIGODORO" kwakua likianza ni mpaka asubuhi.

Lakini kwa sasa kuna kitu "zamu ya nani leo zamu ya man fongo sijui ninininiiiii........" huyu amekuja na style inaitwa KISINGELI ni balaa...
Nliangalia tamasha la chips mayai msaga sumu alipopanda stage wanambagala walipagawa lakibi manfongo nae alipopanda akaleta balaa zaidi..

Nkajiuliza hivi nani zaidi?
Majibu sina
 
Habari wanajamvi?
Kwanza naomba niseme mie nimezaliwa na kukulia uswazi mpka nilipoanza maisha ndio nikahamia walau nusu uswazi...

Uswahilini kwetu kwa wale wa maeneo ya tandika,maguruwe,yombo,temeke kwa maganga na sehemu nyinginezo mnakumbuka mziki wa MNANDA ambao ni kinanda kidogo lakini kinapigwa kwa umahiri mpaka mziki ukaitwa "MNANDA".
Kwakua mziki huu ulihusisha vibaka wengi polisi walidhibiti na taratibu mziki huu ukapotea... Achama na mnanda wa marehemu Omary Omary ulikua wa kisasa ingawa nae alikua muanzilishi enzi hizo maemeo ya temeke TP.

wewe KINANDA a.k.a gita mwananyamala enzi hizo miaka 93 94 kama sikosei basi 95
na kina MUDDY KADOGO na kundi zima la HISANI MUSICAL CLUB lilikuwa maskani yake pale MWANANYAMA Kwa manjunju na album yao ya GARI KUBWA TISHIO ikiambatana na nyimbo kali zenye vionjo vikari kama
nalialia ooh mamaoo uko wapi mama ooh
shemeji kaulamba mkopo wa sukari
nataka kubebwa ooh nataka kunyonya eeh
na vingne vingi
kabla baadae kuja 7suvival then ikaja JAGWA MUSIC watoto wa jolijo wanaosumbua sasa hivi ingawaje jagwa ya kitamba miaka ya 2000 ndo ilikuwa chikopa zaidi
hatari sanaa
 
Mkuu nyimbo za Hao gari kubwa(Hisani musical club) unazo? maana nimeangalia mtandaoni sizioni
 
msaga ndo kabal yao na wenyewe wanajua ndo maana hawampondag namkubal msaga as a legend kweny hii singeli but namkubal zaid doggo nigga /boban mawida ni shda sana huyo dogo ana mikwaju km mahaba niue, hilo ktu ni nouma sema dogo ana promo km fongo apo ndo anafeli
 
wewe KINANDA a.k.a gita mwananyamala enzi hizo miaka 93 94 kama sikosei basi 95
na kina MUDDY KADOGO na kundi zima la HISANI MUSICAL CLUB lilikuwa maskani yake pale MWANANYAMA Kwa manjunju na album yao ya GARI KUBWA TISHIO ikiambatana na nyimbo kali zenye vionjo vikari kama
nalialia ooh mamaoo uko wapi mama ooh
shemeji kaulamba mkopo wa sukari
nataka kubebwa ooh nataka kunyonya eeh
na vingne vingi
kabla baadae kuja 7suvival then ikaja JAGWA MUSIC watoto wa jolijo wanaosumbua sasa hivi ingawaje jagwa ya kitamba miaka ya 2000 ndo ilikuwa chikopa zaidi
hatari sanaa
Muddy Kagodo
Bwana Kulwa
Zembwela
Kicheko
Mfaume
Chidide
Thomson...

"Nilipowaaga wa Kariakoo,
Nikawaaga pia Amana.
Nikawaaga wa Ilala Noma.
Nikawaeleza narudi Nyumbani
Narudi Nyumbani kwa Baba na Mama,
Narudi kwetu nilipozaliwa..
Nipe, nipe, nipe bwana Kulwa"

Mzimu wa Kolelo Ahsante.
 
Muddy Kagodo
Bwana Kulwa
Zembwela
Kicheko
Mfaume
Chidide
Thomson...

"Nilipowaaga wa Kariakoo,
Nikawaaga pia Amana.
Nikawaaga wa Ilala Noma.
Nikawaeleza narudi Nyumbani
Narudi Nyumbani kwa Baba na Mama,
Narudi kwetu nilipozaliwa..
Nipe, nipe, nipe bwana Kulwa"

Mzimu wa Kolelo Ahsante.
Slim5 mkuu unazo nyimbo za gari kubwa uziweke hapa.
 
Back
Top Bottom