Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

99% VENANCE MABEYO new CDF
Sion uwezekano wa mwanajeshi kuluka cheo jeshini ,
Hivyo sizani kama kuna uwezekano wa major gen kuwa general moja kwa moja bila kuwa Lt. General
Na kwa protocol hiyo basi naamini hon. president alimteua mabeyo kuwa Lt general apate uzoefu na ili aje kumteua kuwa General
Live long JF
 
Jina la Next CDF ni siri kwa Rais na kamati ya Ulinzi na usalama ya Taifa baada ya mapendezo ya ma CDF wastaafu,CDF aliyepo madarakani,na Maj Gen waliopo plus Lut Gen waliopo kazini.

Wengine hapa tunajaribu Kutabiri tu kitendawili Magufuli soon atakitengua na CDF atajulikana
Noted
 
Kabisa Kabisa Mkuu.
Hata Mwamunyange alikuwa Mkuu wa JKT then Chief of Military Inteligence kabla ya kuwa Chief of Generalal Stuff there after CDF
Binafsi nampa Liurenant General Mabeyo Chance kuwa CDF
Noted
 
Kila mtu na rizki yake jamani Lt Gen VS Mabeyo kuwa Gen ndio rizki yake ndio njia yake ya mafanikio aliyojaaliwa, wengi wao humu walikuwa wanajua kabisa kuwa protocal lazima zifuatwe. Lakini walikuwa wanajifariji tu, ishu sasa ni kukaza buti na kufunga mkanda baba VS awasongeshe.
 
Venance Mabeyo ndio mkuu mpya wa majeshi Tanzania. Kuttoka Maj. General hadi Chief of Defence Force.
 
Most likely atakuwa Mnadimu Mkuu JWTZ (CoS) wa sasa Luteni Jenerali Venance Mabeyo. Kama alivyokuwa Jenerali Mwamunyange, alikuwa Mkuu wa Usalama na Utambuzi JWTZ (CMI) na sasa ni Mnadhimu Mkuu kama alivyowahi kupitia Jenerali Mwamunyange. Tayari ana uzoefu wa mambo mbalimbali yanayohusu uongozi wa Jeshi.
Ulitisha
 
IMG-20170202-WA0012.jpg
 
99% VENANCE MABEYO new CDF
Sion uwezekano wa mwanajeshi kuluka cheo jeshini ,
Hivyo sizani kama kuna uwezekano wa major gen kuwa general moja kwa moja bila kuwa Lt. General
Na kwa protocol hiyo basi naamini hon. president alimteua mabeyo kuwa Lt general apate uzoefu na ili aje kumteua kuwa General
Wewe jamaa ndyo mrithi wa shekhe Yahaya??
 
Back
Top Bottom