Nani kaonyesha umahiri zaidi wa kuongoza bunge kati ya anne makinda na job ndugai?

hengo

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
402
50
Heshima kwenu wakuu,

Sikupata bahati ya kufatilia bunge kikamilifu kwa sababu mbalimbali zikiwemo mgao wa umeme na mihangaiko ya kutafuta riziki. Kwa waliobahatika kufatili naomba mtupe uwezo na umahiri wa kuongoza bunge kati ya Anne Makinda na Job Ndugai.

Je, kama mwanamke Anne Makinda anaweza ukilinganisha na Ndugai pia Wanaume waliowahi kushika wadhifa huo wa spika wa Bunge?
 
Unachojaribu kufanya ni sawa na kuwachukua mataahira wawili na kuangalia nani ana afadhali.
 
Kama kiongozi akiwa dhaifu hata subordinate wake atakuwa hivyo. Enzi za Sita, Makinda alijitahidi kuendesha Bunge kwa kufuata viwango vya bosi wake na ndivyo ilivyo kwa Ndugai.
 
Haki itendeke, wote wamejitahidi kuendesha vizuri, mabunge yote duniani yanaongozwa kwa staili moja, tofauti ni ndogo.
 
Back
Top Bottom