Nani kamtuma Zitto Kabwe kuomba Mbowe aachiwe huru?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Hatua yoyote itakayochukuliwa kwamsingi wa kauli ya Zitto mbele ya Rais haina tafsiri nyingine isipokuwa ni Mbowe amekiri makosa ya kubambikiwa ugaidi na hivyo kuununua uhuru wake. Jambo hili mimi sikubaliani nalo, Mh Mbowe hakubaliani nalo, Chadema haikubaliani nalo na yeyote mwenye akili timamu hakubaliani nalo.

Maridhiano katika siasa ni jambo muhimu na ni tunu kwa Taifa na Chadema tumeyatafuta maridhiano na tunaendelea kuyatafuta kwa kadiri tuwezavyo, Lakini Mbowe kuwa mahabusu ama kuachiwa sio maridhiano, tunataka Mbowe aachiwe huru bila masharti ndipo maridhiano ya kitaifa yakalike mezani pande mbili ziweke mezani mahitaji yao kwa nchi, na Upande wa Mbowe jambo letu kuu ni Katiba Mpya tu.

Mh Mbowe hana hatia, Familia, Chadema, Mimi na wengine wote tunafahamu Mbowe hana hatia, amebambikiwa kesi kwasababu tu anadai Katiba Mpya. Na msimamo wa sisi wote ni kuwa kesi ifutwe bila masharti yoyote, na wakikataa kufuta kesi iende hadi mwisho wamfunge Mbowe kwa namna wanavyoona inawafaa lakini sharti la teknlojia ambalo hawezi kulizuia, ni kwamba watamfunga hadharani sio gizani, watake ama wasitake dunia itatazama kwa macho na itasikia kwa masikio.

Kuomba msamaha sio chagua la Mh Mbowe wala sio chaguo letu, Kitendo hiki cha kuipigia magoti serikali kinachoshinikizwa na madalali wa watu wale wale waliomfanyia madhira kingefanywa hata tangu mwanzo enzi za utawala wa Magufuli uliomfanyia madhira ambayo hayaelezeki kabisa mbele ya umma, lakini pia angeomba msamaha huo kabla hata hajakamatwa na kufikishwa mahakamani na utawala rais Samia kama angeamua kuwasaliti Watanzania wasidai Katiba Mpya.

Na tunafahamu kuomba msamaha ni kukiri kosa na msamaha kwa asili huambatana na masharti ambayo yataendelea kumfunga Mbowe akiwa uraiani na kwamba akiyavunja atawajibika nayo. Si kwamba ushauri wa kumtaka Mbowe akiri na kukubaliana na watesi hatukuupata mapema, Madalali wa jambo hili wameanza muda mrefu na wamemfikia kila wanayeona atafanikisha hili. Hiki kitendo tulikikataa tangu awali. Mtindo wa kununua uhuru tumeukataa. Waliposhindwa kwetu wameamua kumtumia Zitto kwamgongo wa TCD, nae kwakujua wazi anahujumu juhudi za kupata Katiba Mpya ameingia king na kujipua.

Approach za kisiasa zinazofanywa na chama chetu kama taasisi kuwakabidhi file la kesi (Comito) wadau wa kisiasa TCD na wajumbe wake akiwemo Mzee Mbangula ambae ametajwa na Zitto katika utetezi wake tulipomhoji kwanini anamdhalilisha Mh Mbowe, Zitto akijibu hoja hii amesema aulizwe Katibu Mkuu kwanini alipeleka nyaraka za kesi kwa Mzee Mangula? Ukweli ni kwamba Zitto amepotosha kusudi la nyaraka za Comito kufika kwa TCD (Mangula).

Nyaraka hazikuwa na maana ya "kuomba msamaha" kama Zitto alivyoamua kupotosha umma mbele ya Rais, Approach ya Chadema mbele ya Wajumbe wa TCD ilikuja baada ya kuwaambia wajumbe wa TCD kwamba hawatahudhuria mkutano kwasababu hoja ya tangu awali kwamba Mbowe aachiwe bila masharti haijatimizwa, ndipo mmoja ya wajumbe (Mzee Mangula) akaomba kufahamishwa juu ya kesi hii kiundani, Chadema ikachukua jukumu la kitaasisi na kuwapatia wajumbe wote nyaraka za Comito akiwemo Zitto mwenyewe ambae ni mwenyekiti wa TCD, lengo lilikuwa wadau wa siasa wote wajue kwaundani (in details) kuwa kesi hii ni ya kubambikizwa haina mashiko ya kisheria bali ni siasa.

Zitto anajua vema hili na alijua tangu mwanzo, alichoamua ni kwenda kufanya kile ambacho tulishakitakataa tangu mwanzo kabisa kabla Mbowe hajakamatwa. Yaani ameamua kukiharibia chama chetu na kumharibia Mbowe atafsirike ni gaidi aliyeomba msamaha kwa Rais na rais amemsamehe. Naamini Mbowe kaumia sana na kakasirika sana kwa hili.

Huku ni kumdhalilisha na kutweza utu na msimamo wa Mh Mbowe, huku ni kuidhalilisha Chadema na vyama rafiki vinavyounga msimamo wa Mh Mbowe (NCCR MAGEUZI). Zitto ameamua kushirikiana na dola kumlazimisha Mbowe awe na hatia na ajutie. Mbowe hajamtuma wala chama hakijamtuma. Ninachoamini ametumia mwanya huu wa mvutano kati ya dola na Mbowe, Wakati serikali ikipambana kujinasua kwenye kesi ambayo wao ndio waliifungua na sasa dunia imewakalia vibaya, upande wa pili Mbowe ameweka msimamo wa kutopiga magoti, Zitto amejichomeka na kumsemea Mbowe bila kutumwa.

Naamini msimamo wa Mbowe na Chadema uko pale pale kwamba kesi ifutwe, na sio ifutwe kwa neno msamaha wa Rais ambao kimantiki alishaweka masharti pale aliposema Mbowe "afuate sheria" kauli inayohalalisha kwamba Mbowe ni mkosaji na sio mtuhumiwa tena kama sheria za nchi zinavyosema kwamba mtu hatahesabika kuwa na hatia hadi pale Mahakama itakapotamka. Je ni sheria ipi ambayo Mbowe amevunja hadi akawa mahabusu? Kudai Katiba Mpya ni kuvunja sheria? Kudai haki za kisiasa zilizozuiwa kinyume cha katika na sheria ni kuvunja sheria?. Lipi kosa la Mbowe hadi aombe msamaha?.

Kwa minajiri hiyo, Zitto kuomuombea msamaha Mbowe ni kumtia hatiani mbowe bila kosa, Zitto ameshirikiana na dola kuhalalisha kesi ya kubumba ya ugaidi dhidi ya Mbowe na dola imefanikiwa kumtumia Zitto kwa hili mbele ya watu wachache, lakini tumuulize Zitto, Je Msimamo wa Mbowe ni kukiri kosa ambalo hajatenda? Mbowe amefilisiwa biashara zake zote Tanzania na kubaki sifuri kabisa hadi miamala ya simu ikafungwa ili asipokee hata pesa ya vocha tu toka kwa wajukuu zake yaani M-pesa, Airtel Money na TIGOPESA na Utawala wa Magufuli, Utawala huo ulimvunjia club Bilicanas, ukamfungia Account zake zote za Benki na kupora mabilioni ya amana zake zote katika account hizo. Ukaharibu Mashamba yake na Biashara zake za mahoteli nk, Ukamvunja Miguu, Ukavuruga Uchaguzi jimboni kwake Hai kwakumtumia Jambazi Ole Sabaya aliyeteka, kuumiza na kutia vilema wanachama wenzake, Mbowe hakupiga magoti kamwe. Sasa utawala wa Rais Samia umempa kesi ya Ugaidi. Kisha Mnamuambia aombe msamaha! MSAMAHA?
Mbowe huyuyu ambae utawala wa hayati Magufuli umemdhuru kwa viwango vyote na hakupiga magoti aje apige magoti kwakuwekwa mahabusu au kwakufungwa?

Tukatae aina hii ya manunuzi ya uhuru wetu. Haki itendeke, kesi ifutwe bila masharti yoyote, na wakikataa kufuta, basi wamfunge vile watakavyo lakini watambue watamfunga kweupe huku dunia inaona, kazi yetu itakuwa kuzuia wasimfunge gizani tu.

Na Yericko Nyerere

Attachments

  • VID-20211218-WA0015.mp4
    11 MB
1639816826561.png
 
View attachment 2048448

View attachment 2048449
We acha ujinga,zito hajamba msamaha

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Zito ni mtu asiyeleweka anasimamia nini. Kila mahali ni kigeugeu.

Huo ukigeugeu, kama unaoendwa ACT, angeufungia uzunguke humo humo, kuliko kwenda kuuchomeka kwenye taasisi nyingine.

Leo hii, itokee Zito ameahidiwa na CCM nafasi kubwa ya uongozi, kwa mfano Uwaziri Mkuu, hakika kesho yake ACT haitakuwa na kiongozi mkuu, kama anavyojiita. Kikubwa kwa Zito ni tamaa ya madaraka, hakuna kingine anachosimamia.
 
Chadema wenyewe wamemtuma Zitto, jela kubaya mtu wangu
 
Zito ni mtu asiyeleweka anasimamia nini. Kila mahali ni kigeugeu.

Huo ukigeugeu, kama unaoendwa ACT, angeufungia uzunguke humo humo, kuliko kwenda kuuchomeka kwenye taasisi nyingine.

Leo hii, itokee Zito ameahidiwa na CCM nafasi kubwa ya uongozi, kwa mfano Uwaziri Mkuu, hakika kesho yake ACT haitakuwa na kiongozi mkuu, kama anavyojiita. Kikubwa kwa Zito ni tamaa ya madaraka, hakuna kingine anachosimamia.

Zitto Anatumia Siasa Kwa Masrahi Yake Binafsi Zitto Ni Nyoka Ashauma Wengi Zitto Ni Mchumia Tumbo Ukitaka Kujua Maana Harisi Ya Mnafiki Muangalie Zitto;
 
Sidhani kama Zitto amepewa mshiko au ameahidiwa chochote na CCM. Naamini kabisa kuwa anaumia sana anapoona Mbowe yuko ndani na angependa kushiriki katika juhudi za kuhakikisha anatoka rumande. Kosa alilolifanya ( na mwenyewe amekiri) ni uchaguzi mbaya wa maneno, kuanzia alipowazungumzia ambao hawakuhudhuria kikao hadi suala la Mbowe. Nadhani hakutaka kumkera Mwenyekiti wa CCM kwa kuhofia kuwa ndio angevunja daraja kati ya chama chake na CCM. Hapo ndipo alipokosea na ndio maana Chadema wamemshukia kama mwewe.

Sidhani kama angeshambuliwa kama angesema wazi kuwa kesi ya Mbowe haina tija ( kama angehofia kusema ni ya kutunga) kwa hiyo aachiwe mapema iwezekanavyo kama ambavyo anasema siku zote. Yeye akataka aonekane diplomatic na ndio imem cost.

Amandla...
 
Mpaka sasa Freeman hana hatia au makosa hadi itakapothibitika vinginevyo mahakamani. Hata huko kuachiwa huru ni pale itakapothibitika kuwa hana hatia kwa mujibu wa sheria na mwenendo wa mashauri yaliyoko mahakani.

Msamaha anaomba au anaombewa mkosaji, Freeman hana kosa lolote kwa sasa! Hapo ndipo Zitto alipaswa kusubiri au kukaa kimya kuliko kumwombea msamaha mtu asiye na kosa au hatia. Ni kama vile anamhukumu kabla ya kuhukumiwa kisheria!
 
Sidhani kama Zitto amepewa mshiko au ameahidiwa chochote na CCM. Naamini kabisa kuwa anaumia sana anapoona Mbowe yuko ndani na angependa kushiriki katika juhudi za kuhakikisha anatoka rumande. Kosa alilolifanya ( na mwenyewe amekiri) ni uchaguzi mbaya wa maneno, kuanzia alipowazungumzia ambao hawakuhudhuria kikao hadi suala la Mbowe. Nadhani hakutaka kumkera Mwenyekiti wa CCM kwa kuhofia kuwa ndio angevunja daraja kati ya chama chake na CCM. Hapo ndipo alipokosea na ndio maana Chadema wamemshukia kama mwewe.

Sidhani kama angeshambuliwa kama angesema wazi kuwa kesi ya Mbowe haina tija ( kama angehofia kusema ni ya kutunga) kwa hiyo aachiwe mapema iwezekanavyo kama ambavyo anasema siku zote. Yeye akataka aonekane diplomatic na ndio imem cost.

Amandla...
Alitakiwa kuheshimu sheria! Hiyo siyo huruma ya kumwona mtu ni mkosaji kabla ya yeye kukiri au kuhukumiwa hivyo na mahakama. Si vema kumtia mtu hatiani pasipo sheria!
 
Hatua yoyote itakayochukuliwa kwamsingi wa kauli ya Zitto mbele ya Rais haina tafsiri nyingine isipokuwa ni Mbowe amekiri makosa ya kubambikiwa ugaidi na hivyo kuununua uhuru wake. Jambo hili mimi sikubaliani nalo, Mh Mbowe hakubaliani nalo, Chadema haikubaliani nalo na yeyote mwenye akili timamu hakubaliani nalo.

Maridhiano katika siasa ni jambo muhimu na ni tunu kwa Taifa na Chadema tumeyatafuta maridhiano na tunaendelea kuyatafuta kwa kadiri tuwezavyo, Lakini Mbowe kuwa mahabusu ama kuachiwa sio maridhiano, tunataka Mbowe aachiwe huru bila masharti ndipo maridhiano ya kitaifa yakalike mezani pande mbili ziweke mezani mahitaji yao kwa nchi, na Upande wa Mbowe jambo letu kuu ni Katiba Mpya tu.

Mh Mbowe hana hatia, Familia, Chadema, Mimi na wengine wote tunafahamu Mbowe hana hatia, amebambikiwa kesi kwasababu tu anadai Katiba Mpya. Na msimamo wa sisi wote ni kuwa kesi ifutwe bila masharti yoyote, na wakikataa kufuta kesi iende hadi mwisho wamfunge Mbowe kwa namna wanavyoona inawafaa lakini sharti la teknlojia ambalo hawezi kulizuia, ni kwamba watamfunga hadharani sio gizani, watake ama wasitake dunia itatazama kwa macho na itasikia kwa masikio.

Kuomba msamaha sio chagua la Mh Mbowe wala sio chaguo letu, Kitendo hiki cha kuipigia magoti serikali kinachoshinikizwa na madalali wa watu wale wale waliomfanyia madhira kingefanywa hata tangu mwanzo enzi za utawala wa Magufuli uliomfanyia madhira ambayo hayaelezeki kabisa mbele ya umma, lakini pia angeomba msamaha huo kabla hata hajakamatwa na kufikishwa mahakamani na utawala rais Samia kama angeamua kuwasaliti Watanzania wasidai Katiba Mpya.

Na tunafahamu kuomba msamaha ni kukiri kosa na msamaha kwa asili huambatana na masharti ambayo yataendelea kumfunga Mbowe akiwa uraiani na kwamba akiyavunja atawajibika nayo. Si kwamba ushauri wa kumtaka Mbowe akiri na kukubaliana na watesi hatukuupata mapema, Madalali wa jambo hili wameanza muda mrefu na wamemfikia kila wanayeona atafanikisha hili. Hiki kitendo tulikikataa tangu awali. Mtindo wa kununua uhuru tumeukataa. Waliposhindwa kwetu wameamua kumtumia Zitto kwamgongo wa TCD, nae kwakujua wazi anahujumu juhudi za kupata Katiba Mpya ameingia king na kujipua.

Approach za kisiasa zinazofanywa na chama chetu kama taasisi kuwakabidhi file la kesi (Comito) wadau wa kisiasa TCD na wajumbe wake akiwemo Mzee Mbangula ambae ametajwa na Zitto katika utetezi wake tulipomhoji kwanini anamdhalilisha Mh Mbowe, Zitto akijibu hoja hii amesema aulizwe Katibu Mkuu kwanini alipeleka nyaraka za kesi kwa Mzee Mangula? Ukweli ni kwamba Zitto amepotosha kusudi la nyaraka za Comito kufika kwa TCD (Mangula).

Nyaraka hazikuwa na maana ya "kuomba msamaha" kama Zitto alivyoamua kupotosha umma mbele ya Rais, Approach ya Chadema mbele ya Wajumbe wa TCD ilikuja baada ya kuwaambia wajumbe wa TCD kwamba hawatahudhuria mkutano kwasababu hoja ya tangu awali kwamba Mbowe aachiwe bila masharti haijatimizwa, ndipo mmoja ya wajumbe (Mzee Mangula) akaomba kufahamishwa juu ya kesi hii kiundani, Chadema ikachukua jukumu la kitaasisi na kuwapatia wajumbe wote nyaraka za Comito akiwemo Zitto mwenyewe ambae ni mwenyekiti wa TCD, lengo lilikuwa wadau wa siasa wote wajue kwaundani (in details) kuwa kesi hii ni ya kubambikizwa haina mashiko ya kisheria bali ni siasa.

Zitto anajua vema hili na alijua tangu mwanzo, alichoamua ni kwenda kufanya kile ambacho tulishakitakataa tangu mwanzo kabisa kabla Mbowe hajakamatwa. Yaani ameamua kukiharibia chama chetu na kumharibia Mbowe atafsirike ni gaidi aliyeomba msamaha kwa Rais na rais amemsamehe. Naamini Mbowe kaumia sana na kakasirika sana kwa hili.

Huku ni kumdhalilisha na kutweza utu na msimamo wa Mh Mbowe, huku ni kuidhalilisha Chadema na vyama rafiki vinavyounga msimamo wa Mh Mbowe (NCCR MAGEUZI). Zitto ameamua kushirikiana na dola kumlazimisha Mbowe awe na hatia na ajutie. Mbowe hajamtuma wala chama hakijamtuma. Ninachoamini ametumia mwanya huu wa mvutano kati ya dola na Mbowe, Wakati serikali ikipambana kujinasua kwenye kesi ambayo wao ndio waliifungua na sasa dunia imewakalia vibaya, upande wa pili Mbowe ameweka msimamo wa kutopiga magoti, Zitto amejichomeka na kumsemea Mbowe bila kutumwa.

Naamini msimamo wa Mbowe na Chadema uko pale pale kwamba kesi ifutwe, na sio ifutwe kwa neno msamaha wa Rais ambao kimantiki alishaweka masharti pale aliposema Mbowe "afuate sheria" kauli inayohalalisha kwamba Mbowe ni mkosaji na sio mtuhumiwa tena kama sheria za nchi zinavyosema kwamba mtu hatahesabika kuwa na hatia hadi pale Mahakama itakapotamka. Je ni sheria ipi ambayo Mbowe amevunja hadi akawa mahabusu? Kudai Katiba Mpya ni kuvunja sheria? Kudai haki za kisiasa zilizozuiwa kinyume cha katika na sheria ni kuvunja sheria?. Lipi kosa la Mbowe hadi aombe msamaha?.

Kwa minajiri hiyo, Zitto kuomuombea msamaha Mbowe ni kumtia hatiani mbowe bila kosa, Zitto ameshirikiana na dola kuhalalisha kesi ya kubumba ya ugaidi dhidi ya Mbowe na dola imefanikiwa kumtumia Zitto kwa hili mbele ya watu wachache, lakini tumuulize Zitto, Je Msimamo wa Mbowe ni kukiri kosa ambalo hajatenda? Mbowe amefilisiwa biashara zake zote Tanzania na kubaki sifuri kabisa hadi miamala ya simu ikafungwa ili asipokee hata pesa ya vocha tu toka kwa wajukuu zake yaani M-pesa, Airtel Money na TIGOPESA na Utawala wa Magufuli, Utawala huo ulimvunjia club Bilicanas, ukamfungia Account zake zote za Benki na kupora mabilioni ya amana zake zote katika account hizo. Ukaharibu Mashamba yake na Biashara zake za mahoteli nk, Ukamvunja Miguu, Ukavuruga Uchaguzi jimboni kwake Hai kwakumtumia Jambazi Ole Sabaya aliyeteka, kuumiza na kutia vilema wanachama wenzake, Mbowe hakupiga magoti kamwe. Sasa utawala wa Rais Samia umempa kesi ya Ugaidi. Kisha Mnamuambia aombe msamaha! MSAMAHA?
Mbowe huyuyu ambae utawala wa hayati Magufuli umemdhuru kwa viwango vyote na hakupiga magoti aje apige magoti kwakuwekwa mahabusu au kwakufungwa?

Tukatae aina hii ya manunuzi ya uhuru wetu. Haki itendeke, kesi ifutwe bila masharti yoyote, na wakikataa kufuta, basi wamfunge vile watakavyo lakini watambue watamfunga kweupe huku dunia inaona, kazi yetu itakuwa kuzuia wasimfunge gizani tu.

Na Yericko Nyerere

View attachment 2048448

View attachment 2048449
Nanyi mlitumwa na nani kuomba maridhiano na Magufuli, Desemba 9, 2021? 🙄
Screenshot_20211219-114339_PhotoGrid.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom