Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Cameroon kaamua kwa halina mali kuyashika masaburi ya waafrika weney kiherehere cha kuomba misaada ..sasa hizi ndoa zikiruhusia zitafugwa wapi na nani? Kwa imani gani?
Kwa nini hawaendi huko libya egypt na nchi za kiarabu kupeleka hii demokrasia yao
let say ..wazungu wanataka kuanzisha kanisa Tz linalokubali ndoa za mashoga then wana kama US $100 000/=...Hili dili litaachwa kweli na wabongo? ..haya ni mambo ambayo yanaweza kutokea kweli ..so usipinge kwani wazungu hamnazo