nani ataenda fiesta?

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,360
Siku zinakatika, yamebaki masaa tu. Sina kampani, nipo nipo tu. Nani anaenda anipe kampani?
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jana mimi nlpata complimentary leo nmeiuza buku 10.. Cwez kwenda kwenye ushenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom