KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,584
- 8,611
Nikweli umesema Mwakyembe mimi naunga mkono kwani mbali na sifa kazi anaiweza!wezi wabeba sembe!watakuwa wamepungu kama sikuisha!Mwakyembe
Nikweli umesema Mwakyembe mimi naunga mkono kwani mbali na sifa kazi anaiweza!wezi wabeba sembe!watakuwa wamepungu kama sikuisha!Mwakyembe
Chris lukosi janga la taifa
Mkuu sio hivyo,
Uliwahi msikia Nyalandu akifoka bungeni? lakini mbona Rais kamuona na kila mtu anamkubali
Lowasa au mrema hawakupewa uwaziri kwa kupiga kelele lakini kila mtu anawajua jinsi walivyo wachapa kazi.
Deo ni mchapa kazi mzuri na amelionyesha hilo kwa vitendo akiwa mbunge hivyo inabidi apewe kibarua aweze kuonyesha makucha yake
Hata EL kama akikubali kurudi kwenye baraza anaweza kufaa sana hapo
Mkuu naona Kangi Lugola amekubaliwa na wengi.Sidhani kama Deo anaweza kukaa hapo, tatizo kwake ni umri kwani kuna kipindi wizara hiyo ilipata waziri anaweka nguo za disco ofisini, alafu anakuwa anapenda saluti hata akiwa club.
Kwa upande wa EL, wizara inahitaji mtu ambae akipinga rushwa ataonekana anamaanisha.
Wizara haitaki waziri anayedhani atafanyiwa nini, ila anayekwenda kutoa mchango wake kuboresha vitendea kazi na maslahi ya wapiganaji ili badala ya kufikiri wale nini wafikiri waboreshe vipi utendaji wao.
Lugola is the man, labda Deo awe naibu wake ili awe the model ya watu wa rank za chini alizohudhuria.
dr.mahiga ni mwanajeshi aliyemwondoa idd amin kyaka akiwa na kikosi cha makomando waliokatisha masomo israel baada ya brg.kiwelu kukimbilia bukoba.
baada ya vita alienda ubalozi india na gen.mayunga alienda nigeria. kwa sasa ni mkuu wa vikosi vya kulinda amani somalia.
Sidhani kama Deo anaweza kukaa hapo, tatizo kwake ni umri kwani kuna kipindi wizara hiyo ilipata waziri anaweka nguo za disco ofisini, alafu anakuwa anapenda saluti hata akiwa club.
Kwa upande wa EL, wizara inahitaji mtu ambae akipinga rushwa ataonekana anamaanisha.
Wizara haitaki waziri anayedhani atafanyiwa nini, ila anayekwenda kutoa mchango wake kuboresha vitendea kazi na maslahi ya wapiganaji ili badala ya kufikiri wale nini wafikiri waboreshe vipi utendaji wao.
Lugola is the man, labda Deo awe naibu wake ili awe the model ya watu wa rank za chini alizohudhuria.
kwani sifa za kuongoza hiyo wizara ni zipi?ndio tatizo la likatiba la sasa,hii kazi ilitakiwa kfanyiwa maombi na interview kama kazi nyingine,wataalam wachambue sifa za mgombea,sifa za sasa hivi ni mtu mwenye uwezo wa kutoa maagizo kwa polisi kuwaua viongozi na wafuasi wa chadema..naitukana katiba na ccm...serukamba you.
Mkuu naona Kangi Lugola amekubaliwa na wengi.
Nakubaliana na wazo lako Deo awe naibu wake ili wizara iendeshwe na mapolisi
Lowassa ana kitu ambacho wengi hawana
Lowassa ana command! Hicho ni kipaji alichozaliwa nacho ndio maana anakubalika sana, hata ukimpa tamisemi tu vumbi atakalotimua huko utaniambia. EL ni jembe
Kwa sifa za huyo ulizotoa bas awe kamanda kova or toa sifa nyngne!
g lema