Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Unapendekeza mtu hata hajawahi kuwa mbunge

Spika na naibu wake watatoka kwa hawa hapa
Job Ndugai
Musa Zungu
Jenista Mhagama
 
Sitta;
  1. Ana makundi na wanamtandao. Akiwa spika atalinda maslahi ya makundi, hafai
Nchimbi
  1. Ana makundi na wanamtandao. Akiwa spika atalinda maslahi yao. Alijidhihirisha pale alipojitokeza mbele ya vyombo kupinga uamuzi sahihi wa chama badala ya kufuata taratibu halali za chama. Kuna uwezekano akashiriki kuiangusha serikali ya Dr Magufuli.

Napendekeza
  1. Nape Nnauye
  2. Dr. Ashatu Kijaji
unaweza kusibitisha
 
unaweza kusibitishap
 
Nilijua kuwa utagombea Uspika wa Bunge. Jana imejidhihiri. Umechukua fomu za kugombea Uspika rasmi. Utazirejesha fomu leo. Najua. Nipo hapa Dodoma kukusubiri kuona utakavyokatwa.

Hapa Dodoma,vikao vya CCM na Bunge vitaketi na ku-act. Nipo hapa kufanya niwezalo ili usiwe Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Huwezi kuwa tena Spika. Nitakuangusha kwa hoja za haja na lugha ya tamu lahaja.

Samwel Sitta,karibu Dodoma uone utamu wa mchezo ulioingia kuucheza!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
sita mwamba,wampe tu
 
Asichokijua ni kuwa wapo Wabunge wengi wa CCM ambao hawakufurahishwa na aliyofanya kwenye Bunge la katiba bali walijifanya kuunga mkono msimamo wa chama kinafiki tuu, sasa litakapo kuja suala la kura ya siri ndio nafasi yao ya kumbomoa kabisa mpaka hatajua kapigwa na nini!
 
Nilijua kuwa utagombea Uspika wa Bunge. Jana imejidhihiri. Umechukua fomu za kugombea Uspika rasmi. Utazirejesha fomu leo. Najua. Nipo hapa Dodoma kukusubiri kuona utakavyokatwa.

Hapa Dodoma,vikao vya CCM na Bunge vitaketi na ku-act. Nipo hapa kufanya niwezalo ili usiwe Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Huwezi kuwa tena Spika. Nitakuangusha kwa hoja za haja na lugha ya tamu lahaja.

Samwel Sitta,karibu Dodoma uone utamu wa mchezo ulioingia kuucheza!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Mwenzetu kulikoni?Iv ebu nieleweshe kidogo...nilidhan speaker ni mpala uwe mmbunge ...
 
Sitta tunashukuru kwa mchango wako kwenye nchi hii,maana nasikia upo bungeni toka miaka ya 1970,ni vyema ungewapisha na wengine hasa vijana nao watoe mchango wao kwa nchi hii.Binafsi nikushuruku kwa mchango wako hasa kwenye bunge la Tisa,

Kwa sasa, nakusahauri ubaki kuwa Mshauri kwa kizazi hichi na utumie muda huu kutunga vitabu hasa kwenye nyanja ya Bunge,Sheria na Utawala kwa ujumla
 
Back
Top Bottom