Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

sasa ikulu ijengwe wapi?misasi,misungwi,dutwa,malampaka,ngudu,salawe,sumve,nsimbo,hungumalwa,silima,ukenyenge,kahama,kakola,geita,sengerema,busisi,bariadi,maswa,kishapu,nzega,kagongwa,isaka,ushirombo,masumbwe,runzuwe,nyamagana,ilemela,magu,kakola, duh etc,
acha ukabila hata akitoka uvinza sawa sote waTz
 
wakuu habari za muda huu. nakumbuka mwaka 2005 kulikua na angalau tetesi kuwa jk anaweza kuwa rais wa Tanzania lakini safari hii mpaka sasa hakuna anaetabiriwa. Hebu niambieni wakuu nani mnamuona anafaa kutuongoza mwaka 2015
 
Hatujui hata nchi gani tutakuwa nayo wewe unaongelea urais hatujui hata mfumo wa nchi utakuwaje
 
Bila kujali chama, dini, utanganyika na uzanzibari, jinsia na ukanda. Kwa kuzingatia sifa za mgombea, hali ya nchi na watu wake na dunia ya leo ilipo, unadhani nani unaona anafaa kuwa rais mpya baada ya Rais Kikwete kumaliza muda wake 2015?
 
Back
Top Bottom