Nani anaestahili kufurahia kupitishwa kwa bajeti ya Wizara Bungeni? Ni Mwananchi au Waziri wa Wizara husika?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Hii stori Ina ukweli ndani yake,yaani Waziri yoyote bajeti yake ikipita tu Bungeni, ufanya sherehe Sasa najiuliza nani anae staihli kufuraia kupitishwa Kwa bajeti Bungeni?

Ni Waziri na watumishi wa wizara au ni sisi WANANCHI tunao letewa huduma zitokanzo na mpitisho wa bajeti hizo?

Kama ni sisi basi tufuraie
Kam ni wao basi wafuraie.

Nini maoni Yako?
 
Umetoa hoja fikirishi sana mkuu, Hongera sana.

Kiuhalisia wananchi ndio wanaopaswa kufurahia bajeti husika ya wizara kupitishwa na bunge.

Ila kwa kuwa Africa ni bara ya majizi mengi basi mawaziri ndio hufurahia zaidi maana wanajua upigaji wao umefanikiwa.
 
Hilo linalofurahia na hayo yanayopiga makofi yote majizi
Sijawahi kuona bajeti inapita bila wao kusherehekea
Hapo utajua tu ni upigaji umepita
Sasa cha kufurahia ni nini haswa kama sio Wizi?
 
Back
Top Bottom