Nani alisema mama wa kwanza inglishi haipandi

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Nani alisema mama wa kwanza inglishi haipandi... Tizama mwonekano wa mwili [body language]

IMG_1129.jpg

IMG_1213.jpg
 
We mzushi nani alisemaga hayo? Watu walisemaga kwamba Mama wa nchi anapenda sana Kiswahili kuliko ung'ee ndo mana kwenye mikutano hata iwe na wazungu wangapi anamwaga tirio kwa Kikwetu / Kiswahili. Siyo kwamba ung'ee haupandi; kwani si alikuwa Ticha? Kaenda shule bwana.
 
Ticha wa Msufini shule ya Msingi hawezi kuongea inglishi bana. Labda muungwana amemletea watu special wa kumbrashi.
 
Ni kweli tusijipake mafuta kwa mgongo wa chupa huyu mama lugha bado tena bado sana tu. Lakini kama tulivyo kwenye mambo mengine hatutaki kuadmit na kuchukua hatua. Kwa mfano hv kuna ubaya gani akitumia mkarimani? Sijuwi ila hiyo picha ya pili huyo mama wa kizungu anaonekana haelewi kabisa kitu gani huyu mama wetu wa kwanza anaongea. Me nilidhani option ya mkarimani ilikuwa muhimu ingetusave na mambo kibao ikiwemo aibu.
 
Hawa wazungu nawajua sana........wanajua Kiswahili kuliko James Mabala aka Baba Hidaya....Mabala wa Mabalaa
 
Ni kweli tusijipake mafuta kwa mgongo wa chupa huyu mama lugha bado tena bado sana tu. Lakini kama tulivyo kwenye mambo mengine hatutaki kuadmit na kuchukua hatua. Kwa mfano hv kuna ubaya gani akitumia mkarimani? Sijuwi ila hiyo picha ya pili huyo mama wa kizungu anaonekana haelewi kabisa kitu gani huyu mama wetu wa kwanza anaongea. Me nilidhani option ya mkarimani ilikuwa muhimu ingetusave na mambo kibao ikiwemo aibu.

nimeshawahi kumsikiizza kwa karibu...si kwamba hajuwi kabisa ..sema ni ile tunaita tia maji ,tia maji ....akiongea anaeleweka...unajuwa nini wazungu wanaelewa kwa urahisi sana ...sema tu sisi tukiongeaga broken tunajistukia...wenzetu italino au wachina..hata wahindi....wanaongea hiyo hiyo kama ya mamaz na wanaeleweka ...cha maana kwenye lugha ya mtu hakuna kuona aibu unalima tu!!!......
ukiona umeongea broken atakayekucheka ni mswahili mwenzako but wazungu wao hawa mind!!!!!...sema kama atajaribu kuhutubia free style kwenye mkutano..hapo wata m mind kwa kuwa atakuwa anawapa taabu wakalimani!!!
 
Lugha sio issue sana, huku kukumbatia kizungu ili kuonekana ndio usomi, ni sehemu tuu ya kazumba ya ukoloni mamboleo, mbona Wachini wao ni kichini tuu na lugha ya taifa walilopo basi.

Huyu mama namkubali sana, haswa maconfidence yake, with true and genuine facial expression zenye simplicity, humble and down to Earth. huku akiwa 100% natural compared to kazi ya ma-carollite kwenye ngozi za dada/mama zetu wengi wa leo, kwa kisingizio, hazina hydroquinone. Mama ni mama na yeye ni yeye hivyo alivyo ndivyo alivyo!

Huyu mama alikuwa akitumia saluni fulani Sinza, hata baada ya kutinga Ikulu, akawa bado anekwenda, huo mshike mshike wa foleni za huko ndipo nadhani akashauriwa wasusi waletwe nyumbani.
Mwacheni Mama Yetu.
 
.........wengi tunamapungufu, lakini ilikhali tunaeleweka na kuelewana, Tujage lolooh!!!
 
nimeshawahi kumsikiizza kwa karibu...si kwamba hajuwi kabisa ..sema ni ile tunaita tia maji ,tia maji ....akiongea anaeleweka...unajuwa nini wazungu wanaelewa kwa urahisi sana ...sema tu sisi tukiongeaga broken tunajistukia...wenzetu italino au wachina..hata wahindi....wanaongea hiyo hiyo kama ya mamaz na wanaeleweka ...cha maana kwenye lugha ya mtu hakuna kuona aibu unalima tu!!!......
ukiona umeongea broken atakayekucheka ni mswahili mwenzako but wazungu wao hawa mind!!!!!...sema kama atajaribu kuhutubia free style kwenye mkutano..hapo wata m mind kwa kuwa atakuwa anawapa taabu wakalimani!!!
Nakubaliana na wewe kabisa, sisi waswahili tunatabia ya kufikiri lazima mtu ujue kiingereza kama waingereza!! hii ni lugha ya kujifunza, haiwezekani ukaijua kivileeee! lazima utakuwa short of vocabularies na wakati mwingine kushindwa kunyoosha sentensi, ni kawaida, na ukiongea na anayekijua, mtakuwa nanelewana. ndo maana tunawaelewa wazungu wanaojua kiswahili kidogo.
 
Unajuaje uwezo wa lugha wa mtu kwa kuangalia picha? To make your point beyond a shadow of a doubt ungeweka video au audio japo sioni umuhimu au ulazima wowote wa huyu mama kujua Kiingereza. Kama member mmoja alivyo point out ana weza hata kuwa na mkalimani kama ilivyo kwa viongozi wengi duniani wanao toka nchi ambazo hazina mazoea ya kuongea Kiingereza.
 
Duh hapa taaluma imenipita, mnawezaje kujua lugha inayozungumza kwa kuangalia picha?
 
nimeshawahi kumsikiizza kwa karibu...si kwamba hajuwi kabisa ..sema ni ile tunaita tia maji ,tia maji ....akiongea anaeleweka...unajuwa nini wazungu wanaelewa kwa urahisi sana ...sema tu sisi tukiongeaga broken tunajistukia...wenzetu italino au wachina..hata wahindi....wanaongea hiyo hiyo kama ya mamaz na wanaeleweka ...cha maana kwenye lugha ya mtu hakuna kuona aibu unalima tu!!!......
ukiona umeongea broken atakayekucheka ni mswahili mwenzako but wazungu wao hawa mind!!!!!...sema kama atajaribu kuhutubia free style kwenye mkutano..hapo wata m mind kwa kuwa atakuwa anawapa taabu wakalimani!!!

Hiyo bold imekaa vema sana nakupa thanx!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom