JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
..Mzee Mwinyi aliwahi kusema lugha ya Kingereza ndiyo "kiswahili" cha dunia.
..lugha ya Kiingereza ni muhimu sana kama tunataka kuwa taifa lenye maendeleo,lenye watu wanaojiamini, na wenye uwezo wa kushindana ktk medani ya kimataifa.
..ni vizuri, ni vizuri, wananchi wetu wakazungumza lugha hizi mbili, Kiingereza na Kiswahili, kwa ufasaha.
NB:
..si kweli kwamba wa-China hawana habari na Kiingereza. kuna maelfu ya wanafunzi wa Kichina wanajifunza Kiingereza.