kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi mwache atendeke. Jaman what is the right thing to do?