Zee la Masonko
Member
- May 1, 2015
- 26
- 54
Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF
Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana.
Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana.
Naombeni msaada wenu Wana JF nammisi Sana Shunie. Aani unampenda mtu ata humjui moyo kitu Cha hovyo Sana looo!!