Namtafuta binti mwenye BIKRA kwa gharama yoyote ile!

wakaka hapo ndo mnaponiacha hoi,mnataka wasichana ambao hawajafanya mapenzi lkn ww hapo umeshafanya wee za kila aina sasa unatafuta na ya bikira uone kama inatofauti.Mim ninayo but not available.
Ningekua na uwezo ningesema mabikira waolewe na wanaume bikira na waliotumika waolewe na waliotumia.
sio sawa kipofu na kipofu hawawezi kuongozana lazima mmoja awe anamacho yanayofanya kaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aiseee!

siasa zimekushinda mkuu, huko mtaani kwenu huwaoni watoto uwabake?

bk sio rahisi kiivyo kama wewe sio mwalimu wa secondary
 
Hii ni yakitqmbo kipindi anabalehe mkuu

Sent From Ikulu-Magogoni street


Nimeona kichwa cha uzi nijaifungua kwa speed ya Bolt huku nikiwa na shauku pia kichwani tayari cha kupost nimekifikiria bila kujua kilichomo humu ndani.

Ghafla nikaona Yericko ndio ameiposti halafu ni kitambo, nikachokaaa sana
 
Back
Top Bottom