Namsikiliza Rais ufunguzi wa baraza la vyama vya siasa, Rais Samia hayuko huru kabisa, kuna kundi linamburuza ndani ya CCM

Inasikitisha sana, watanzania tutumie nguvu kupata mabadililko ya katiba mpya, CCM bila kuvunja amani hawataruhu katiba mpya.

Katiba hii ikibadilishwa CCM itatoka madarakani,hivyo hawako tayari ibadilishwshe.

Wajumbe wote karibu wamepigwa butwaa
Aisee kuna taarabu la kanga moko linapigwa hapa si mchezoo. Aisee kama viongozi wanaotuongoza ndio hawa, basi tumepigwaa
 
Thanks, madam samiah for a powerful stunning speech of a Millennium "
*Thank you madam, blessed be!
 
Back
Top Bottom