Namshukuru Rostam

Status
Not open for further replies.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Sikudhani itafika siku nimshukuru Rostam lakini kwa hili inabidi,toka siku ile alipomjibu Mengi hapajatokea tena kipindi maalum ambacho Mengi anaongea na ninaangalia kipindi cha Second chance bila ya wasiwasi wa kutokuwepo,asante Rostam.
 
Mchokonozi!!!!!!!!!!!!
 
weird...ina maana Mengi kila siku alikuwa na kipindi maalum,Bize kuangalia second chance na kujisifu JF. Waafrika tuan matatizo makubwa,bora ungesema unasoma kwa utulivu kuliko hicho ulichosema unakiangalia.Lini tutastuka na kuachana na kuangalia hizi movies ambazo hazileti changamoto zozote katika yale muhimu yanayotukabili kama taifa au jamii ya watanzania...SOMA ndugu yangu soma chochote punguza utumwa kwa kuangalia hayo ma series, watu wanamake money kwa huo ujinga wenu
 
Omba msaada wa contact zake wasiliana naye au mtafute umpe hizo shukurani zako Mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom