namshukuru Mungu kwa siku njema

Happy bday Eversmilin Gal, mwenyezi Mungu akupe maisha marefu.

Nami leo namwish my mom huko alipo R.I.P, happy bday mama, 2likupenda lkn Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi, lkn bday yako bado ipo kwenye kumbukumbu zetu.

Hvo leo ni B'day ya mama?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom