Nampenda sana!

Umeanza kupenda wanaume wenzako sasa? Loh!
teh teh teh
Kwa hiyo una maana 'barafu wa moyo' wa huyu dogo ana sura na shepu ya kiume?? mwenzio hivi sasa analeta hii picha mara ya pili hii ya 'J-Lo' wake na kutangaza nia, wewe unataka afe kwa presha !
 
Awww too cute :A S-heart-2:

Lakini Mkubwa haipendezi kuanika picha yake hapa. Mhifadhi moyoni mwako tu. Imetosha iondoe picha yake sasa

Ahsante
 
teh teh teh
Kwa hiyo una maana 'barafu wa moyo' wa huyu dogo ana sura na shepu ya kiume?? mwenzio hivi sasa analeta hii picha mara ya pili hii ya 'J-Lo' wake na kutangaza nia, wewe unataka afe kwa presha !

Kaka na dada zngu,pengne hata wenye umri wa kuitw mama au baba zngu wapo hapa so nlitarajia ushaur wa hekima na busara kunijenga mdogo wenu lakini nashangaa vle mnavyoninyanyapaa! Kw sheria ya tanzania ni ruksa kw yeyote kueleza hsia zke! Nampenda sana huyu binti!
 
aminia..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom