Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,362
11,519
Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri)

Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa kumuudhi. Hapo naweza mbembeleza hata week nikilia ndo ananisamehe kwa shingo upande sana.

Kiukweli nampenda na sipendi kumpoteza. Huwa namwambia basi anapo ni cheat awe makini nisiwe najua mwenzie anaumiza roho yangu anajibu sawa atajitahidi. Haupiti mwezi anarudia tena.

Nikimuuliza anakuwa mkali kuwa kwa nini namfuatilia na kumfanya akose uhuru.anasema mimi mlalamishi sana.

Sasa toka lasti wiki napiga simu hapokei.nimeenda anapoishi hayupo. Nimehangaika sana. Jana katuma msg kuwa hanitaki tena... Nmeumia sana kwa kweli nawaza nitaishi vipi nami nlishamzoea...natamani kunywa sumu. Hata sijui ipi ndo nzuri. Sijalala usiku kucha namuwazia Kidawa.
 
Mzee nilivyoona kichwa cha uzi nikajua una changamoto kama zangu za kiuchumi ili tufarijine kumbe na ww ni mseng.e pussy inakuliza na kukufanya uwe bwege kiasi hiko came on nigga.

No wonder CCM haitoki madaraki kwa akili hzi.
 
Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri)
Jina lako nimesha report soon utashindwa comment wala kufungua thread huku hatuwezi kuwa na vijana wasiojielewa hata siku moja
 
Ifikie hatua matatizo yenu katika mahusiano muwe mnawaambia wazazi mfano mama,yaan hapa nimeumia mwanangu ateseke na mwanamke Malaya,atake kujinyonga sababu kaachwa na mwanamke Malaya😳🙌 Daaa....utakufa Kwa ukimwi nyoko wewe!!

Kufa tu maana hujui kuitumia akili Yako vizuri😏 mapenz ya nn kama hamyawez...😠....kupenda sifa za kijinga,yaan kinachokuuma ni Ile wenzio walikuwa wanakusifu una demu Bomba afu kakutosa.🤔 Kakate kidole Zimbabwe japo ufe umewaachia mkwanja wazazi wako.😠🤦🤦🤦🙌
 
Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri)
Haaaaah wewe ni mwanaume kabisa?? Unawazaje kujiua kwa ajili ya mapenzi? Umerogwa wewe sio bure, wanawake hawa hawa tunaokutana nao mtaani au wa kwako ni wa aina gani?

Then unajisikia shujaa ukiona wanaume wengine wanasifia utamu wa mwanamke wako, hahahaahaaaa, aisee kweli dunia INA mambo!

Anyway, endelea kulia lia kwanza, ngoja nikiingie chimbo kufukua madini, tukutane baadaye
 
Sumu ya panya ni nzuri au kuna Ile dawa ya kuogeshea mbwa nayo inafaa sana, kuna kujinyonga, kuna kujichoma kisu.

Ukapumzike unapostahili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom