Nampenda ila kila nikichat nae kwa sms ananiita "bro"

anza na my lovely sister...
halafu unakuja na my lovely friend
mwisho unakuja na my sweety
halafu unamalizia na my sexy n lovely girl...
taraatibu ataelewa
Hii mistari nimeipenda,ngoja niicopy nikaifanyie test bcoz ata mimi kuna kidemu cha form1 kinanizingua kwa kuniita bro wakati mie nataka nikipeleke Duniani.

!
 
kuna maeneo machache sana wapaswa kumwambia,siwezi yasema humu lakini,pole tehtehe,ukishindwa kabisa,ni PM
 
Kauzu zaidi ya dagaa
unalalamika kuitwa bro?
mbona wanawake wengi ndio swaga zao kama hawana interest...
na kama ivyo ulivyomzidi umri, ingekuwa mimi ningekupa shikamoo (yaani hii mbinu inawamalizaga kabisa wanaume)
kuna mmoja aliuliza, baada ya kupewa shikamoo "unataka kuninyima nini"? nilichoka lol! kuna wanaume hawakubali kushindwa. iga mfano
 
ama zake ama zako!
nawashukuru kwa wote mliochangia kwa nia njema kama mimi nilivowasilisha hapa kwa nia njema na safi kabisa.......NINA KWENDA KUCHANGANYA NA ZA KWANGU,USHINDI LAZIMA
NITARUDI KUTOA MAJIBU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom