nampenda binti wa kimeru lakin simuelewi

Je yeye ana hisia kama zako? maana upendo ni wa pande mbili, jihadhari kuingia kwenye uhusiano ambao hisia inatoka upande mmoja tu
mi nacho itaji ni yeye kunipa nafasi moyoni,mambo ya upendo mi nitasuply
hayo makitu,kwa huyu mtt niwe mimi au msela atakae mpata atafaidi ni full displne
 
jaman me nimekuonea huruma, wewe akirudi mwambie jinsi unampenda sio kwenye facebook au simu kaa nae mahali muongee umsikilize anasemaje juu ya hisia zako kwake! mapenz mabaya
 
Back
Top Bottom