Namna ya kuweka ringtone uitakayo kwenye windows phone

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,253
1,028
Habari wandugu.kama heading isemavyo hapo juu. Nimenunua simu inayotumia OS ya windows. Ishu imekuja nataka kuweka ringtone za miziki yangu ila sioni pahala pa kuanzia! Nimehangaika weee hadi basi bila ya mafanikio. Previously nilikuwa natumia Android and things were much simpler ila sasa niliona there is a need a change in taste. Naomba msaada wenu wadau.Cc: CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
nenda store kadownload ringtone maker, tumia hio kukata miziki yako na kuifanya iwe ringtones. kuna watu wana tabia ya kueka sms tone nyimbo nzima ikiingia tu sms kwake basi ni kero thats why kuna hio limitation.

pia update kwenda wp8.1 (lumia cyan) zitaondoka limitation nyingi itakuwa nzur zaidi
 
Ahsante CHIEF MKWAWA. Ila mie natumia Huawei W1. hiyo Lumia cyan itakubali kweli??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom