Namna gani naweza kuhifadhi hela nje ya nchi?

mischa

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
368
176
Heri ya Mwaka!!

Kutokana na hili wimbi la serikali kufungia mabenk kweli nimepata shaka kuhusu uhifadhi na akiba ya masalio yetu.

Je,ni namna gani naweza kuweka hela zangu benk za nje?
Siku gharika likitokea niwe na blanket funds kuliko kuanguka kwa presha na kupasuka moyo.

Shukrani
 
Duh..... mi mwenyewe nataka kufungua commercial bank ulaya nifiche hela zenu
 
Ukienda hapo RWANDA na kitambulisho chako ndani ya dkk 5 unapata account yako
 
Heri ya Mwaka!!

Kutokana na hili wimbi la serikali kufungia mabenk kweli nimepata shaka kuhusu uhifadhi na akiba ya masalio yetu.

Je,ni namna gani naweza kuweka hela zangu benk za nje?
Siku gharika likitokea niwe na blanket funds kuliko kuanguka kwa presha na kupasuka moyo.

Shukrani

Naku encourage fanya hivyo. Hata ukiweza tu sehemu za karibu kama Kenya, Rwanda, SA. Cheki mtandaoni au wasiliana na balozi zao wanaweza kukupa utaratibu.
 
Heri ya Mwaka!!

Kutokana na hili wimbi la serikali kufungia mabenk kweli nimepata shaka kuhusu uhifadhi na akiba ya masalio yetu.

Je,ni namna gani naweza kuweka hela zangu benk za nje?
Siku gharika likitokea niwe na blanket funds kuliko kuanguka kwa presha na kupasuka moyo.

Shukrani
Kuja huku Mexico....
 
Back
Top Bottom