nadhani kwa level ya perfomance ya uwaziri mkuu mlimani mtatiro ali-play big role kuliko mawaziri wakuu wengi japokuwa kila waziria likuwa na zama zake.
Mtatiro ni kama Mrisho Ngasa achezee AFC Arusha. I know him he is potential. Hebu tuache majungu tumshauri kijana mwenzetu asome upepo na achukue the right track. Huko alipo he is lost.
Mimi naamini ni suala la muda tu mtatiro julius niliyesoma naye udsm najua iko siku atajoin wapambanaji wa kwel - chadema. Ni suala la muda tu.
Nahitaji kujua, Mtatiro nae ni Mujahidin? Kwa nini apate nafasi ya juu hivyo kwenye chama cha CUF?
Utamaliza machozi bure mkuu,he is lost achana nae!
mtatiro ni kati ya viongozi wachache vijana wenye upeo mkubwa mno,
Ana uwezo mkubwa sana wa kupambana mazingira aliyomo, mie na wenzangu 700 pale udsm tuliokuwa under private sponsorship tuliwekwa kwenye mikopo kwa sbb ya juhudi za mtatiro,
Nakumbuka kuna siku tulikuwa naye kwa waziri mkuu-alimbana pm had kikaeleweka,
Wakati huo alikuwa waziri wa mikopo,baadaye akawa waziri mkuu na kisha katibu mkuu wa vyuo vikuu tanzania kabla ya kujiunga cuf na kuwa mkurugenzi wa haki za binadamu na sheria na baada ya mwaka ,moja amekuwa naibu katibu mkuu wa cuf.
Mimi namtizama kwa jicho la msimamo sana,yeye ni role model kwa mtu ambaye si mnafiki,
Mtatiro amefika hapo alipo kwa sbb ya kutoyumbayumba,kama angehitaji fedha na umaarufu angekwenda cdm au ccm lakini kwa mrizamo wangu mtatiro ana roho ngumu,anapigania mafanikio atakayoleta na siyo ya kuletewa.
Na sidhani eti nafasi zote alizopitia amekuwa akibahatisha au kuzipata by chance,naamini anazipata kutokana na uwezo wake na nimeona kuna mchangiaji anasema alipokuwa high skul alikuwa kiongozi then amefika mliman pana wanafunz zaidi ya 20,000 wakamuamini na baadaye kuongoza vyup vikuu,
wakati akiongoza vyuo vikuu tukumbuke ndiyo enzi zilizokuwa na harakati za hali ya juu vyuoni,wakati tuliposhuhudia vyuo vikuu wakiandamana kushinikiza bei ya nauli na gharama za umeme zishushwe,ni wakati tuliposhuhudia maandamano kupinga uchakachuaji wa matokeo kenya na mauaji,hizi ni enzi ambazo mtatiro aliwaelekeza wanafunzi wa vyuo vikuu kupigania maslahi ya watanzania,
Na hata leo akiwa cuf tumeshuhudia moves zake nyingi-maandamano ya kupinga kuilipa dowans kwanza yalifanywa na mtatiro na chama chake kabla cdm hawajaanza,
Mapambano ya kupeleka rasimu ya katiba waliyoiandaa n.k.
So, mimi naona kama hapa jamvini watu wamekaa kishabiki mno lakini ukweli unabakia kuwa mtatiro ana uwezo mkubwa sana kupita vijana wengi walioko cdm na uwezo wake utasaidia sana kuiinua cuf.
Hongera mtatiro,hukohuko uliko tafuta ukombozi wa watz.
huyu si mujahidina ila amewekwa pale ili apunguze angalau maneno ya watanzania hasa watanganyika kuwa cuf ni ya wapemba na mijahidina.
Hii sehemu nliyoiweka rangi nyekundu sijakuelewa ulitaka kusema nini hasa, jaman tutumie tu lugha tunayoifahamu vizuri katika kuwasiliana. Lugha kama haitafikisha ujumbe kusudiwa, inakuwa ni barrier of communication.tujulishwe hayo mafaili ya siri ya cuf ili mtatiro awekwe wazi, mie namuunga mkono sana and because of that cuf.
But muhimu tuelezwe hizo siri za cuf.
Nahitaji kujua, Mtatiro nae ni Mujahidin? Kwa nini apate nafasi ya juu hivyo kwenye chama cha CUF?
Nani kasema Mtatiro kujiunga na waislam kapotea? Mtatiro yupo kwenye chama cha Mujahidin cha wale answaar sunna. Waliopo Ccm ni wale wa Bakwata. Upinzani wa CUF na CCM ni ubakwata na uanswaar sunna tu mambo mengine yote wanafananachama cha CUF ni chama kizuri kwani alipojiunga CUF, chadema siilikuwepo au kwa sababu ni mkristo? acheni udini wenu! mbona ZITTO yuko chadema na hatusemi kuwa kapotea? na CHADEMA NI CHAMA CHA WAKRISTO.
Hata mimi nashangaa mtiririko wa Ma alhaji ndani ya CCM
Maalhaji wote wa Bakwata
Alhaji Kikwete
Alhaji Kinana
Alhaji Mwinyi
Alhaji Karume
Alhaji Bilal
Alhaji Shein
Hajat Hawa Ghasia
Hajat Mwantum Mahiza
Hajat Amina Mrisho Said:
Vp ccm ni chama cha msikitini mkuu?