Namkubali sana mrembo Amber Lulu

Tafuta hela acha mawazo mgando,
Kuna wengine wapo vijijini ni wazuri kuliko huyo ni hela za kuwatunza tu!
 
Kwa muonekano ni mnyamwezi hasaa Ila akifungua tu mdomo wake ni mzaramu wakutokea kule kwetu kisamvula cholee. Na kichwani ni mtupu hasa hili Ndio tatizo la wauza sura wetu wa kwenye video.

Tatizo ni wabishi kurudi shule kufuta huo ujinga wao
 
Napenda na mwenzie Gigymoney naona mziki umeanza kuwakubali siku hizi .

Tunawashukuru kuiwakilisha Mbeya ,ila muwe mnaitaja mbeya basi kwenye nyimbo zenu kama kaka yenu Izzo B
 
Nyimbo yake ya pili nimeipenda sana. Ila yule mwenzie mtoa papa simsomi kabisa. Anayemtengenezea beats anampendelea sana.
 
Back
Top Bottom