Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Tuko mahali tunajaribu kupunguza tustress twa mchana Wa Leo. Dogo moja kapata mbili tatu ndo akamkumbuka wake mwandani. Kanyanyua kilongalonga akampigia akanza kukwambia SEMA BABY I Love you! Inaelekea mama kakataa wacha jamaa awake oooh kuna Bwana uko naye hapo! Mara hauko nyumbani! Sasa angukubali kusema baby I love you ndo angekuwa yuko mahali salama ama vipi? Yoso bana taabu tupi!