Namba za magari na ushawishi wa kisiasa

RAU

Member
Jul 6, 2011
61
11
Muda si mrefu kutakuwa na namba za magari kama T001 CCM, T005 CDM, T007 CCJ, T101 CUF na nyinginezo nyingi.
Je namba hizi hazitakuwa na ushawishi kisiasa kwa kuwa zimebeba m vifupisho vya vyama vya kisiasa?
Je ziruhusiwe kutumika au zinaweza kuondolewa kwenye mtiririko wa namba rasmi nchini kuepusha M/kiti CDM ana gari lenye namba T100 CCM au M/kiti CCM ana gari T100 CDM?

Tuna omba ushauri na wahusika waliopo mtandaoni wayapokee maoni.
 
Tukifikiria mbali zaidi kama Great Thinkers,
Ziruhusiwe kupaki karibu na vituo vya kupigia kura Siku ya Uchaguzi??
 
Huwa wanazi-skip kuavoid mkanganyiko
Imagine T XXX BOO, T XXX IGP,T XXX VAA/VUA, T XXX HIV etc..
 
with the introduction of new number plates you may find CCM CHALI, CHADEMA JUU, M4C FOREVER, CHADEMA NOMA etc you may add as appropriate
 
Ni Upuuzi kama tulishindwa kuzuia namba kama Hii T000ASS..tukashabikia izo number

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sitamiliki chombo chochote chenye namba T.... CDM. Nitasubiri mpaka nambari hizo ziishe kabisa.
 
Ah... kama ndo hivyo basi ADC itakuwa wamekionea, yani ilitoka tangu mwaka 1998 halafu ndo kwanza kimesajiliwa juzi... mwe!!! Kama ndo hivyo hichi chama hakitaexist longer, gari zote TxxxADC zimeshakufa zamani ama zinachungulia kaburi. Mi naona kiitwe CDA kiujanja ujanja ili na wao wawemo kwenye competition...
 
Unamaana ADC chama cha Mujahidin?
 
Back
Top Bottom