Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

Status
Not open for further replies.
Mimi napendekeza zito awe mwenyeki na mgombea urais 2015 maana uwezo wake ni mkubwa kuliko kiongozi yoyote chadema.
 
Acha kupayuka kama vuvuzela weka michango ya wachangiaji waliotaka ajiuzulu nafasi yake. Naona mtajisikia vizuri Zitto akiondoka Chadema eh?
 
Last edited by a moderator:
Mimi napendekeza zito awe mwenyeki na mgombea urais 2015 maana uwezo wake ni mkubwa kuliko kiongozi yoyote chadema.

Wewe, upo kwenye target ya Jon Saasaba. Ameshakabidhiwa kibaba kizima cha sumu kwa ka ajili ya watu kama wewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom