Jamii Forum ni sehemu ya kuelimisha, kukosoa, kurekebisha na kutoa mwelekeo kwa jamii at large. Mbona wewe Kashaija unataka kuifanya sehemu ya jokes???? Please, mods fanyeni filtering ya postings. Kuna watu wengine wameingia hapa kuwa member kwa sababu wametumwa kuharibu hapa. Pengine vigogo wanaowatuma hawana muda na forum zaidi ya walio nao kwa misheni town zao au pengine hawajui hata kufungua computer zaidi ya kukaa mezani kupanga au kusaini fake contracts au kupanga deal.
Please, observe JF rules and guidelines. Mod hebu post neno la elimisho kwa members. Thanks.