Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Jitazame kwanza kama umekamalika kweli kuwa mke WA mtu na si MWANAMKE WA MTU
Mume Anaitaji mke katika Ndoa, kama uko na vigezo vya mke,bhas hao unaowaita wachumba yawezekana unakutana na WAVULANA😂😂😂
WAVULANA NDO WENGI SANA WANAUME WENYE SIFA ZA KUITWA MME WA MTU, TUNAZIDI KUPUNGUA KIZAZI CHETU CHA MWINYI KINAISHA
 
Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....

Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.

Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭

Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.

Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Tuanze na Iman Yako kwanza...coz kama mkristo ndoa ni Moja tuuu hata kama mmepeana talaka bado mnatambulika mtu mume na mtu mke!

Kama muislam ingia kwenye ndoa nyingine ambayo itakuwa na changamoto nyingi kuliko ya awali sabb ya hao watoto.
 
Sawa mkuu
 
Jitazame kwanza kama umekamalika kweli kuwa mke WA mtu na si MWANAMKE WA MTU
Mume Anaitaji mke katika Ndoa, kama uko na vigezo vya mke,bhas hao unaowaita wachumba yawezekana unakutana na WAVULANA😂😂😂
WAVULANA NDO WENGI SANA WANAUME WENYE SIFA ZA KUITWA MME WA MTU, TUNAZIDI KUPUNGUA KIZAZI CHETU CHA MWINYI KINAISHA
Kabisa mkuu
 
Watoto wawili uingie nao kwa ndoa, labda kama watalelewa na ndugu zako...

Kama utaweza kuwapeleka pengine ila sio uishi nao watakuwa kikwazo kwako tena katika ndoa mpya...

Ukitaka kumuona shetani live funga ndoa...
Nimekuelewa cute,asante sana
 
Nkamu; deep down unatamani kufunga ndoa na huyo kaka; kinachokukwamisha ni hiyo fear yako tu. Whatever happened with your ex hubby; bado kinaishi ndani yako na kukusumbua. It is more of a psychological issue: "Fear of failure".

Kinachokuumiza sasa hivi ni hilo wazo kwamba "itakuwaje hii ndoa ikivunjika pia"?. Jaribu kujiuliza je umeshaanguka mara ngapi kwenye maisha yako; lakini ukajaribu kufanya tena hicho kitu kilichokuangusha na eventually ukafanikiwa? Kwa nini uamini tu kuwa utashindwa badala ya kuamini kwamba this time ndoa yako itadumu? Unapopata nafasi ya kufanya kitu fulani na ukashindwa kuifanyia kazi; je hutokuja kujilaumu kesho? Can you afford to lose that guy? Can you bear the cost of not giving it a try?

Nina rafiki zangu wawili ambao walipitia divorce na wote wana ndoa tena sasa hivi. Kwa nikichokiona tu wakikipitia; aisee divorce ain't a joke; haijalishi wewe ndiyo umetaka divorce au umepewa. It takes a toll on a person. But I'm glad waliweza kukubaliana na kila kilichotokea na wakasonga mbele.

*Ulijifunza nini kwenye ndoa yako ya kwanza. (Maybe we should never ignore the red flags). Usiangalie tu mumeo alikosea wapi; angalia na wewe ni wapi ulipokosea then parekebishe. Kuna watu unakuta kila siku anaumizwa tu; lakini ukija kuangalia shida kubwa zaidi ipo kwenye choices zake. Ni lazima ujue exactly ni nini unakitaka.

*Kubali kwamba kilichotokea kimeshatokea. Jipe nafasi ya kupenda na kupendwa tena kwa uhuru. Chochote kitakachokuja kutokea kwenye ndoa yako ya pili; accept it wholeheartedly.

*Usiignore any red flag ambayo unaona kabisa huku mbeleni utakuja kuwa-cost. Second divorce itakuumiza na kukugharimu pakubwa

*Usiingie kwenye ndoa na Ile dhana kwamba "you want to prove people wrong; so no matter what hutoki kwenye hiyo ndoa". Kama unavyotujua walimwengu; sisi ndoa ikivunjika tutamchamba tu mwanamke bila kujua wala kujali nini haswa kilitokea. As a result mtu akija kuolewa tena anakuwa na mzigo wa kuhakikisha haachiki tena ili tusije msema tena "huyu ndiyo tatizo, ndiyo maana ndoa zote zinamshinda".
Ndoa inahitaji kujitoa na kuchukuliana na kubebana sana; lakini ikifika hatua ukaona kabisa maisha yako yapo rehani (physically or emotionally); please toka tu (God forbid). Tutasema mchana, usiku tutalala. Maisha yako yana thamani sana kwako, kwa watoto wako na kwa wazazi wako.

*Overcome your fear. Otherwise utaingia kwenye ndoa; afu ikitokea issue kidogo tu; unagive up maana ulishaiona divorce hata kabla hujaingia ndoani. "Aonavyo mtu nafsini mwake; ndiyo alivyo"

*Usione kama mtu amekuhurumia au amekufanyia favor kukuoa kwa sababu tu ni divorcee au single mom of 2. Kuna kitu huyo mwanaume amekiona ndani yako ndiyo maana akawaacha wanawake wote huko wabichi; akakufuata wewe. Mtu asikushushe thamani Wala usijishushe thamani.

*Angalia ni kwa kiasi gani mwanaume wako ana msimamo juu yako. Unatujua ndugu wa mume ma mawifi/wakwe. Tena awe alishaolewa na ana watoto wengine huko; maneno na visa haviishi. Na hakikisha emotionally upo vizuri sana; ili hata wakikutikisa wakute hutikisiki. Plus Mungu azidi kuyaimarisha malango yako ya kiuchumi; uwe tu na hela nkamu.

*Uwe na open communication na mzazi mwenzio. Ukivunja trust ya huyo mumeo, utakiona cha mtema kuni.

La muhimu zaidi; omba Toba na rehema na ujitenganishe kabisa na ndoa yako ya awali. Usije ukaingia kwenye ndoa mpya na garbages za ndoa yako ya awali. Divorce isiishie tu kwenye makaratasi; hadi spiritually m-divorce kwa sababu the two of you are/were "one in soul". Cut all the soul ties
Kila la kheri nkamu.
Daaa,😭😭 Mwenyezi Mungu akubariki sana mom....Asante sana wangu
 
Yeah, nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....

Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana, talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.

Nina watoto wawili, nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭

Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.

Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Tayari nimekupima na kukuona mwanamke mkorofi.

... '(Vipingamizi toka kwa ndugu) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha( kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa)'...

Angalizo jingine kuhusu mapungufu yako:

... 'Si mchumba wa kwanza kumpata yaani wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize choko choko tugombane tutengane'...

Kwa hiyo kwenye mahusiano ya ndoa, unashikiwa akili na ndugu hadi unawaweka kwenye kipaumbele vya maamuzi katika ndoa yako siyo?

Unamtafutia mchumba mwenye nia njema vijisababu ili mgombane are you serious kweli?

Wewe ni aina ya wanawake 'pasuakichwa' kwenye mahusiano na haufai kuishi na mume.

Si kila mwanamke afaa kuitwa mke ama kuolewa.

U single mom ndiyo title yako wala usimtafute mchawi.

Tatizo la watu hamuupendi ukweli na hampendi kuambiwa ukweli.
 
Sawa mkuu...Asante kwa ushauri
 
Daaa,😭😭 Mwenyezi Mungu akubariki sana mom....Asante sana wangu
"God is not only the God of second chances; but the God of third and fourth and unlimited chances for His children who confess their faults and weaknesses, and come to Him for help". Make the most of this chance nkamu...
 
Ndagha Fijo ghwangu...kyala andule Papo indumbula jikali jikahobhokela😪
 
Ni Mhimu sana Kuisikiliza nafsi yako. Lkn pia mawasiliano na Mungu wako ni ya msingi sana.

Haijalishi unapoabudu, lkn kama unaye Mungu umwaminiye tenga muda wa Kufunga na Kuomba juu ya jambo hilo.

Mara nyingi Nafsi inapogoma kwenda popote ukailazimisha kitu kibaya hutokea.
Ni mhimu sana Kuisikiliza kwani Roho yako ndyo hupokea majibu kutoka kwa Mungu.
 
Haiwezekani iwe wanaume Tu ndo Wana shida ...na wewe je?
Umerekebisha kasoro zako?
Au bado unaamini " uko perfect" ?
Hukuwa na shida kabisa?...
Kasoro zako unazijua na umezifanyia kazi ...au ni mume na familia yake ndo Wana 'matatizo "wewe huna kabisa?
Umeongea vyema, kitendo cha huyu single mother kutokujibu maswali yako ya msingi, inaonesha kwa 70% yeye ndio alikuwa kipengele na kujivunjia ndoa yake mwenyewe kwa mikono yake
 
Back
Top Bottom