Nakupenda....

Vipi tena Hashy Umepata Kabinti ka kabila gani hako unatafuta mistari ya kukaambia unakapenda!!!
 
hahaha lol
mie tayari niko hapo my dear..
sema tu nikusikilize na mie nta kwambia maneno matamu hahah lol
masai1.gif

nimepata hii picha yako dear

wooow!welcome hooome!sasa maneno yangu ya upendo niliyokunong'oneza umeyapenda?af niitie dena nimtume
 
wooow!welcome hooome!sasa maneno yangu ya upendo niliyokunong'oneza umeyapenda?af niitie dena nimtume

hahaha lol ngoja nianzishe thread ya upendo lakini nimuombe
Dada yangu mkubwa Dena apunguze maneno makali kwanza hahah lol
 
Wapi tena nimeharibu wewe mtoto.

hahahah lol
huku haribu kitu dada
bali ni kawaida yako tu kuwa mkali ..lol
kwa hiyo ntakuanzishia kitu nikuombe upunguze ukali hahahah lol
hiyo yote ni kwa ajili ya upendo hahahah lol
 
hahahah lol
huku haribu kitu dada
bali ni kawaida yako tu kuwa mkali ..lol
kwa hiyo ntakuanzishia kitu nikuombe upunguze ukali hahahah lol
hiyo yote ni kwa ajili ya upendo hahahah lol

Umesahau kabila langu au?? Hujui sie hata tukiongea kwa upole mtu anadhani umekasirika
 
Umesahau kabila langu au?? Hujui sie hata tukiongea kwa upole mtu anadhani umekasirika

hahahhaahahaha lol
aise umeongea ukweli hapo..
umenichekesha sana dear............
hapo si tukisema nakupenda kwa kabila letu
kila mtu atakimbia hii thread hahahahha lol
 
Back
Top Bottom