Nakumbuka.........

Jaman mie enzi za Bongoman ndio nilikua natambua mambo ya mziki,mama yangu alikua ananifunga kitamba kiunon na kunifundisha kukata mauno na mwendo wa kwasa kwasa lol!na mie wa enzi atiii!

Hujanishinda mm na mdogo wangu, inawekwa hapo chini sarafu ya sh 5 au ishiri ile ya mwinyi mnaambiwa atakae kata kiuno zaid ni yake, inaachiwa Inde..indee...indeee monieeeee weweeee!
 
ISAMBE wa kanda bongo man huu wimbo ulitesa sana.Wimbo mwingine unaitwa Inde Monie nakumbuka mwaka 1991 alifanya show uwanja wa Taifa(sasa uwanja wa uhuru au shamba la bibi) alijaza watu mpaka wengine walikatazwa kuingia ndani.
 
Kanda alipiga kitu ya baba Moi, ilikuwa inafanya kwenye mojawapo ya TV za hapo Kenya, mrembo kiaina.

Noma ikawa juu ya noma wakati Kanda alipovuta nyomi ya nguvu kwenye show yake, Moi alikuwa na mkutano at the same time, mkutano wake uka doda, watu wote wako kwa Kanda, akampa Kanda masaa 48 kama sikosei aondoke Kenya kwa madai kwamba ni hatari kwa usalama wa Kenya!lol!

baba Moi....No...hiyo inaitwa Nakae Nairobi aliimba Mbili abel.., Kanda aliachia Kitu Bili..kikamkuna mke wa Moi aka amka akaenda kuta mauno na Kanda B. Moi aka kasirika ndio akatoa hiyo order !
 
ISAMBE wa kanda bongo man huu wimbo ulitesa sana.Wimbo mwingine unaitwa Inde Monie nakumbuka mwaka 1991 alifanya show uwanja wa Taifa(sasa uwanja wa uhuru au shamba la bibi) alijaza watu mpaka wengine walikatazwa kuingia ndani.

Umesahau kitu BILI, Elizabethi..
 
Jaman mie enzi za Bongoman ndio nilikua natambua mambo ya mziki,mama yangu alikua ananifunga kitamba kiunon na kunifundisha kukata mauno na mwendo wa kwasa kwasa lol!na mie wa enzi atiii!

mh. wakubwa wanafaidi jamani. Umejifunza kukata viuno toka enzi ya Bongoman.Nina uhakika hata Ray C hatii maguu kwako kwenye suala la KUKATA VIUNO.
 
ISAMBE wa kanda bongo man huu wimbo ulitesa sana.Wimbo mwingine unaitwa Inde Monie nakumbuka mwaka 1991 alifanya show uwanja wa Taifa(sasa uwanja wa uhuru au shamba la bibi) alijaza watu mpaka wengine walikatazwa kuingia ndani.
 
Na sisi wa enzi wa nyimbo kama "shingo ya upanga" tunaruhusiwa kujikumbushia humu? Ule wimbo wa "wanyama wakali" hadi RTD wakautumia kwenye kipindi chao cha "Jioni Njema" kweli ilikuwa balaa!!
 
Umesahau kitu BILI, Elizabethi..

Unakumbuka staili ya kucheza Billie?........Bilimanzoleleee yo mamaeeee...bilingo nangai yo mamaeeee....pesa pesa pesaa..... unakata kiuno huku unang'ata kidole
 
Na sisi wa enzi wa nyimbo kama "shingo ya upanga" tunaruhusiwa kujikumbushia humu? Ule wimbo wa "wanyama wakali" hadi RTD wakautumia kwenye kipindi chao cha "Jioni Njema" kweli ilikuwa balaa!!
Unaruhusiwa mkuu...enzi za Mapenzi yananivunja mgongo"
 
he he he, mnichangie kwenda kuongezwa gonjwa la moyo?

Bora nichangieni ninunue Nissan March.
Teh teh teh sa si tunataka kukusaidia upate sehemu ya kutolea haja we unataka Nissan March kha!
 
wee kumaintain hicho kifaa gharama mno.

Mara ununulie watu magari mara uwajengee, akha mie siwezi.

My dream car, nissani march tu.

Nangoja nini dunia ennhe bila kuwa na wewe mwenye shingo ya Upanga. Mwendo wa maringo hatua za hesabu ni wewe mpenzi wangu mwenye shingo upanga. Sitakuacha! sitakuacha! Sitakuacha! Milele na daima. Dah!! Natamani binti wa mmoja wa Kariakoo aje atukumbushie enzi zile mambo ya Jamhuri na Dar Jazz lakini ndiyo hivo tena kapigwa BAN.
KANCHEKESHA!!
 
Hahahahaaa mbona hujasema unakitumia ili kununuliwa Nissan March
 
Nangoja nini dunia ennhe bila kuwa na wewe mwenye shingo ya Upanga. Mwendo wa maringo hatua za hesabu ni wewe mpenzi wangu mwenye shingo upanga. Sitakuacha! sitakuacha! Sitakuacha! Milele na daima. Dah!! Natamani binti wa mmoja wa Kariakoo aje atukumbushie enzi zile mambo ya Jamhuri na Dar Jazz lakini ndiyo hivo tena kapigwa BAN.
KANCHEKESHA!!
Omba special request atolewe kwenye BAN angalau kwa muda tu ili akufurahishe
 
baba Moi....No...hiyo inaitwa Nakae Nairobi aliimba Mbili abel.., Kanda aliachia Kitu Bili..kikamkuna mke wa Moi aka amka akaenda kuta mauno na Kanda B. Moi aka kasirika ndio akatoa hiyo order !
Mkuu soma vyema, Kanda alikimbiza kitu(nyumba ndogo) ya "Baba Moi", aliyekuwa mtangazaji wa TV mojawapo Kenya.Na Moi Ndivyo walikuwa wakimwita wakenya, alipewa "ubaba wa Taifa"
 
Dah baba Moi....
 
Hujanishinda mm na mdogo wangu, inawekwa hapo chini sarafu ya sh 5 au ishiri ile ya mwinyi mnaambiwa atakae kata kiuno zaid ni yake, inaachiwa Inde..indee...indeee monieeeee weweeee!

Hahahaha!mie mama yangu ndio alikua akinifundisha,nshakatika sn!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom