Nakukumbuka, asante sana

Vintage1q

Member
Jan 7, 2021
41
257
Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.

Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.

Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.

Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel.
 
Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu.

Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that beautiful dress, you looked beautiful dear.

Sijajua ulikutana na changamoto gani ya kuhitaji talaka na ukaamua kutokuwa hewani bila kujua maumivu ninayopitia. I miss my little girl, G. Najua utasoma ujumbe wangu hapa JF.

Ni uamzi mzuri kuondoka lakini I just need one more chance to say a word to my little angel,,,
Pôle sana mkuu,but jitahidi kuwa unamtafuta n'a kuhudumia mtoto wako!
 
Back
Top Bottom